Kinachoendelea Twitter (X) kuhusu maoni ya watu juu ya Waraka wa TEC ni upuuzi mtupu

Waraka utasomwa kwa wiki 6 mfululizo tutegemee mengi zaidiView attachment 2723499 Hii Ayo TV ameshurutishwa kuifuta haipo tena
Na hapo ndio watajua hawajui... Maana sasa hivi hata aliekuwa hafatilii mambo ya Bandari ameanza kufuatilia... Sasa wiki Sita kama utasomwa si itakua balaaa... Kweli kanisa lina nguvu... Maana hadi aliekuwa makete udungwani lazima asikie na aungemkono.. 🤔🤔
 
hapa ni kwamba chizi anayeokota makopo alikuwa anajaribu kumjibu mtu mwenye akili timamu. ni ajabu nchi inaendeshwa na watu kama mwijaku,
 
Ila Mkuu Mshana kuna jamii nimeidharau mno mno!
Wakati wa utawala wa Kikwete kuna Masheik waliwekwa ndani.
Walioandiika waraka kupinga wale Masheikh kushikiliwa na TEC na Sheikh Ponda tu
!
Wengine wote walikaa kimya bila kupaza sauti!
Wakati wa Magufuli na unyanyasaji wake TEC iliandika waraka kupinga pia na kulitokea kutoelewana kati yake na TEC.
Ni vyema kuomba hekima kwa hawa watu waweze kujitambua!
 
fact
 
Mkunazi Njiwa Mimi ni Mtanganyika na nitabaki kuwa Mtanganyika kama alivyo Mzanzibar hakuna ubaguzi hapo
 
Katu Mwinjaku Hamna mtu mwenye akili timamu anaweza akafikiria unachokizugumza shoga mzoefu unadiriki vipi kuingilia maneno ya wanazuoni hebu tafuta vilinge vyako kijana hii ishu huna nafasi Bata wewe
 
Mkuu naungana na wewe mimi siyo.mtumiaji mzuri wa
Twitter, Baada ya andiko lako nimepita kule nimegudua twiter kwa Tanzania ina wajinga wengi sana nakiri kusema hivyo.

Nikarudi kuamini that is the reason Magufuli aliipiga chini kuna uzezeta mwingi sana kule. I dont use twiter or instagram unless kuna issue ya maana yenye mchongo
 
..
Tukemee wale wote wanaotaka kujificha kwenye udini pale tu wanapokosolewa kwa makosa waliyoyafanya wenyewe.

Mungu Ibariki Tanzania na watu wote.

Uhuru, Umoja na Amani ...

Nakubaliana nawe Mkuu Mshana Jr kwa hoja yako hiyo.

Yeyote anayepinga Waraka wa TEC kuwa una udini hakika ndiye mwenye hisia ya udini. AKEMEWE KWA NGUVU ZOTE
 
Nakubaliana nawe Mkuu Mshana Jr kwa hoja yako hiyo.

Yeyote anayepinga Waraka wa TEC kuwa una udini hakika ndiye mwenye hisia ya udini. AKEMEWE KWA NGUVU ZOTE
"Kanisa halipingi uwekezaji, lakini ni lazima uwekezaji huo uwe kwa maslahi ya taifa na wananchi waridhike nao. Wananchi wana haki ya kutoa maoni na viongozi wa dini tukiona mambo hayaendi, ni wajibu wetu kushauri na kukemea. Na tunapofanya hivyo msituambie tunachanganya dini na siasa" Askofu Fredrick Shoo, Mkuu wa KKKT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…