Kinachoendelea Twitter (X) kuhusu maoni ya watu juu ya Waraka wa TEC ni upuuzi mtupu

Kinachoendelea Twitter (X) kuhusu maoni ya watu juu ya Waraka wa TEC ni upuuzi mtupu

Wewe si wakala wao hapa JF?
RAI! RAI! RAI!
Nadhani serikali kwa njia ya wataalamu wa magonjwa ya akili waweke mpango wa kitaifa wa kupima watu magonjwa ya akili. Na watu wote tupimwe. Kuna dalili kwamba kuna wagonjwa wengi wa akili kuliko tunavyodhani na wengine si ajabu wako kwenye nafasi nyeti. Naona tukiongea hatuelewani hata katika mambo madogo ya wazi na ya kawaida. Tena lugha chafu, uongo, na za matusi zimeongezeka hadharani.
 
Kwanini unasema ni lazima utekelezwe?, Mbona Mpango wa kuendeleza bagamoyo ulisitishwa ulipoonekana mkataba una kasoro kwanini huu inatumika nguvu kubwa kutekeleza licha ya watu kupiga kelele
 
Kataa utapeli ,kataa udini ,kataa waabudu binadamu wenzao.

Kataa wakwepa kodi pale bandari kwa mlengo wa dini.

Kataa wanaume wasiotaka kuoa hao waumini mngewapataje ,kama sio kukosa akili?

Kataa wapitisha Silaha kwa kivuli cha dini?

Kataa utapeli kabisa serikali haina dini.!!
View attachment 2723615View attachment 2723616
Tanzania inaongoza Kwa kua na watu wajinga yaani TAHIRA kama huyu anasema tukatae udini serikali haina Dini kisa kanisa katoliki limepinga madudu ya serikali yenu kuuza bandari... Halafu unaoinga udini Kwa kutumia reference za udini kisa huo upande unasapoti madudu... Kwahiyo hao Mitume Hewa wanaounga huo ushudabwa sio UDINI?... Kenge wewe
 
Haijalishi wamepinga au wamesapot katika dira ya nchi matamko yao hayana nafsi ...Hakuna mda wa kusikiliza wajinga kama wewe na washamba wengine ,tunaangalia maendeleo.
Ujinga wenu nyie waumini mara mnakuja na vitisho sijui kanisa lina nguvu ili kutetea maoni yao ,kama mna nguvu huko kwenu na hakuna kitu mtafanya.!!

Baki Kijiji kwenu kwanza unaijua hata bandari ?
 
Kwann upinge udini Kwa kutumia reference ya udini? Hayo ndo maendeleo unayozungumzia?
 
Kwann upinge udini Kwa kutumia reference ya udini? Hayo ndo maendeleo unayozungumzia?
Nafikria haufuatilii nyuzi nyingi hao jmaa zako hawajibu hoja zaidi ya vitisho.

Ndo maana nikasema hao TEC sijui BAKWATA ni vikundi tu wala havina power hiyo mnayodanganyww na hawana chochote wanaweza kufanya .

Ndugu zako hao wa TEC wanaleta vitisho sasa nataka nione watafnya nn ?
 
Hoja yangu ni moja kwanini watu wa walio Chini ya taasisi ya dini wakipinga huo mkataba unakua udini lakini wale wanaounga wanaonekana wako Sawa? Kwann na huo usiwe udini?
 
Hoja yangu ni moja kwanini watu wa walio Chini ya taasisi ya dini wakipinga huo mkataba unakua udini lakini wale wanaounga wanaonekana wako Sawa? Kwann na huo usiwe udini?
Angalia viongozi hao binadamu wanalazimisha kila aliopo chini yao akubali kama sio ujinga ni nn? wao wana exceptions gani za mamlaka mpaka washawishi watu .

Mbona wana kesi kibao za kibinadamu kama wengine hujawahi kusikia wamelawiti...Fundisha dini na mengine ndo lengo sio kulazimisha sijui waraka kila mtu afaute kwani ni wote wanaosapot?

Waumini wote wapo huru wanafuata vitabu sio matamko ya mtu.

Leo wakitoa tamko la ndoa za jinsi moja watu watafuata ? Watu wanafuata vitabu sio matamko ya watu binafsi.!
 
Hujajibu hoja yangu lakini we unaanza kudiscuss watu badala ya hoja
 
Suala la mkataba wa bandari ni kiazi cha moto tayari imeonyesha kuna vipengele vina mapungufu.

Hivi mmiliki wa bandari ni nani?

Kwanini kuna nguvu kubwa inatumika kupinga na kukubali?

Hivi kwenye mkataba huo viongozi wanaweza kuthibitishia uma kuwa hawajopokea chochote kitu?
 
Hii hapa nipe majibu Accumen Mo
Eeh ! Nimekupata.

👉Swali katika dini hakuna taasisi inaweza kumuongelea mtu binafsi nje ya dini kwa sababu taasisi za dini zinadili na mambo ya dini huko nje hapawahusu .

Muumini hata awe chini ya taasisi ana maoni yake na misimamo yake hata wakifanya uchaguzi wa ndani ya taasisi kila mtu ata chagua mtu atamkaye kuwa kiongozi hiyo ndo maana ya dini .

Bahati mbaya tunajua dini zetu watu wanachaguliwa sio mapendezo ya wanaongozwa wao huyo kardinali anachaguliwa vatican ili aje kuongzo huku huo ni mfano sina maana hiyo.

Leo ukitoa vitisho hapo katika taasisi watu wapige kura za wazi ,kila upande utapata watu wake ....wanaopinga watakuwepo na wanaokataa watakuwepo.

Taasisi yeyote ile dunia usidaganywe kila mtu ana maoni yake na sio kila mtu anapendezwa na uongozi sema wana ile kitu inaitwa kuheshimu mamlaka.

Swali kwako👉una uhakika wakatoliki wote wanasapot huo waraka nje ya vitisho na kulazimishwa kama order from above ,basi kule twitter wapo wakatoliki hawautaki na walilazimisha kuusoma kwa nguvu ...Je hii ndo imani ya Mungu.

Sikiza BAKWATA leo akitangaza mwezi usifikrie ndo kila muislamu atawafuata 😅😅kila mtu ana elimu za dalili zake atafanya elimu yake anavyojua.
 
Wakipekee usitumie nguvu kubwa kubishana nao ona tofauti
ee1d182305a30d7b43bd2911de0a77fc.jpg
 
Mimi sio mkatoliki hata hivyo nasema wote wanaowashambulia wakatoliki kwa waraka huu kwa madai ni udini ukristo nasema ni pimbi. Wangeongelez udini wakati kakobe alivyotakiwa kuthibitisha uraia na yule askofu katoliki alipotakiwa athibitishe uraia wake kipindi Cha yule mwovu aliyeshindwa kuvumilia criticism juu ya utawale wake...!!
 
Back
Top Bottom