Voice of Tanzania
JF-Expert Member
- Sep 23, 2018
- 2,036
- 3,107
Hii comment unaweza jua jamaa anatania lakini huu ndo ukweli 100% japo mchungu. Kubali kataa ndoi imeenda hiyoooooWatendaji kata na wenyeviti wa Vijiji wameketi Leo kujadili majina ya waombaji, kigezo kikubwa ni kuwa wanachama wa CCM ndio wanaopewa kipaumbele zaidi, kama siyo mwanachama basi omba Sana Mungu kuweza kuvuka hicho kinyang'anyiro.
Nikweli lakin wanachama pekee hawawezi kuandikisha wananchi wote Mana Kila eneo Lina wanachama wa ccm lakin hawawezi kuzimaliza izo ajira zote wachukue waoHii comment unaweza jua jamaa anatania lakini huu ndo ukweli 100% japo mchungu. Kubali kataa ndoi imeenda hiyooooo
Sasa unakuta kata Ina vituo 15 kila kituo watu wawili wanaitajika jumla watu 30 hapo hapo watendaji wa mitaa nao wameomba hizo kazi Kuna makada ndio walengwa wa kazi zao wewe mwenzangu na Mimi utapenyea wapi?Nikweli lakin wanachama pekee hawawezi kuandikisha wananchi wote Mana Kila eneo Lina wanachama wa ccm lakin hawawezi kuzimaliza izo ajira zote wachukue wao
hapo Ni wanachama pamoja na walimu😅Sasa unakuta kata Ina vituo 15 kila kituo watu wawili wanaitajika jumla watu 30 happy happy watendaji was mitaa nao wameomba hizo kazi Kuna makada ndio walengwa wa kazi zao wewe mwenzangu na Mimi utapenyea wapi?
Kweli pia niliwasahau umeona balaa Hilo tena hapo kata yenye vituo 15 ni miongoni mwa kata zenye watu wengi mnooo Kuna ambazo vituo vi 8, 9 na nkhapo Ni wanachama pamoja na walimu😅
Duh aisee ngoj tusubir majina manake duhKweli pia niliwasahau umeona balaa Hilo tena hapo kata yenye vituo 15 ni miongoni mwa kata zenye watu wengi mnooo Kuna ambazo vituo vi 8, 9 na nk
😅😅 Umeombea wilaya na kata ipiNavosoma komenti nahisi jina langu kama halitatoka duuuu
Ulikuwepo kwenye hicho kikao?Kivipi
Kwanini?Navosoma komenti nahisi jina langu kama halitatoka duuuu
Asante kwa taarifa
Swali zuriUlikuwepo kwenye hicho kikao?
Dar Es salaam bila shaka ipo kwenye awamu ya mwisho ambayo ni June 2025Wakati uzinduzi wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ukitarajiwa kufanyika Mkoani Kigoma, Julai Mosi, 2024 imeelezwa uboreshaji utaanza siku hiyohiyo na kuendelea katika Mikoa ya Katavi na Tabora, ikifuatiwa na Kagera na Geita
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima, amesema zoezi litaendeshwa kwa Siku saba kwenye kila kituo cha kuandikisha Wapiga Kura na wanatarajia Awamu ya Kwanza itakamilika Machi 2025 kisha Awamu ya pili itafanyika Aprili hadi Juni 2025
Ameeleza mchakato huo una lengo la kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi na kuwa uboreshaji wa Awamu ya Kwanza utafanyika kwenye mizunguko 13
Soma Tanzania inatarajiwa kuwa na Wapiga Kura 34,746,638 watakaoandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura
#Democracy #Kuelekea2025 #Governance #JamiiForums
Tukutane mwakani😅😅Wakati uzinduzi wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ukitarajiwa kufanyika Mkoani Kigoma, Julai Mosi, 2024 imeelezwa uboreshaji utaanza siku hiyohiyo na kuendelea katika Mikoa ya Katavi na Tabora, ikifuatiwa na Kagera na Geita
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima, amesema zoezi litaendeshwa kwa Siku saba kwenye kila kituo cha kuandikisha Wapiga Kura na wanatarajia Awamu ya Kwanza itakamilika Machi 2025 kisha Awamu ya pili itafanyika Aprili hadi Juni 2025
Ameeleza mchakato huo una lengo la kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi na kuwa uboreshaji wa Awamu ya Kwanza utafanyika kwenye mizunguko 13
Soma Tanzania inatarajiwa kuwa na Wapiga Kura 34,746,638 watakaoandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura
#Democracy #Kuelekea2025 #Governance #JamiiForums
Kwahyo haifanyiki yote kwa pamoja nchi nzima?Wakati uzinduzi wa zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ukitarajiwa kufanyika Mkoani Kigoma, Julai Mosi, 2024 imeelezwa uboreshaji utaanza siku hiyohiyo na kuendelea katika Mikoa ya Katavi na Tabora, ikifuatiwa na Kagera na Geita
Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhani Kailima, amesema zoezi litaendeshwa kwa Siku saba kwenye kila kituo cha kuandikisha Wapiga Kura na wanatarajia Awamu ya Kwanza itakamilika Machi 2025 kisha Awamu ya pili itafanyika Aprili hadi Juni 2025
Ameeleza mchakato huo una lengo la kutekeleza jukumu hilo kwa ufanisi na kuwa uboreshaji wa Awamu ya Kwanza utafanyika kwenye mizunguko 13
Soma Tanzania inatarajiwa kuwa na Wapiga Kura 34,746,638 watakaoandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura
#Democracy #Kuelekea2025 #Governance #JamiiForums
Wanafanya Kwa awamu haifanyiki kw pamoja, ndo hapo umeona wameandika awamu ya kwnz itakua na mizunguko 13Kwahyo haifanyiki yote kwa pamoja nchi nzima?
kwanini wanafanya hivyo?Wanafanya Kwa awamu haifanyiki kw pamoja, ndo hapo umeona wameandika awamu ya kwnz itakua na mizunguko 13