Kinachofanywa na Mchungaji Msigwa hakina tofauti na kinachofanywa na CHADEMA, nadhani kuna haja ya kubadilika

Acheni unafiki. Huyo Magufuli akiwa hai aliwafanyaje CHADEMA?. Si ndio huyo kaharibu chaguzi za 2019 na 2020 ili CCM ijae bungeni na kwenye Halmashauri. CCM wenyewe watumie upepo sio CHADEMA.
Tumia akili
 
Nakazia
 
Ujinga unao wewe ambaye fikra zako zinaongozwa na wanasiasa badala ya kutumia akili yako kufikiri, kwa akili yako unaamini nchi upinzani upo serious na unaamini kabisa kuna mpinzani angeweza kumshinda JPM kwenye kura.
Stupid idiot, punguza ujinga. Wewe ndio unaoongozwa na wanasiasa ndio maana nasema Jambo kama lilivyo.huyo Magufuli aliingia kwa asilimia 57 mwaka 2015 kwa tume hii ya nape. Alipoingia madarakani akafuta mikutano ya vyama na hata mikutano ya ndani ikazuiwa. Ilipofika 2019 asilimia 80 ya wagombea wa upinzani wakaenguliwa , na kugombea hivyo kulipa CCM ushindi wa asilimia 95.


Mwaka 2020 wakaenguliwa wagombea asilimia 45 wa upinzani Tena wengine wakiwa wamemaliza ubunge wao Kama Susan Kiwanga wa CHADEMA. Sio hivyo siku ya kupiga kura mtandao wa internet ilizimwa na ujinga ukafanyika. Kama alikuwa ana uwezo wa kushinda haya yote aliruhusu ya nini?.


Na alivyomjinga, akafanya yote hayo kuikomoa CHADEMA, ila hata miezi mitatu hakumaliza kwenye Urais. Very stupid person.
 
case closed
 
Acha utoto hili liko wazi ,tatizo mkikaa kwenye ka ofisi kenu wawili watatu mna hisi mnawakilisha mawazo ya watanzania wote
Mtoto mwenyewe kubwa jinga mkubwa. Huyo Magufuli angepedwa asingezima mitandao siku ya uchaguzi. Uchungu wangu uliisha siku ilipotangazwa amekufa Tena mafichoni. Maana nilishangaa mtu gani anafanya ubaya Kama huo halafu bado anaishi?. Ningeshangaa Kama angekuwa hai Leo.
 
Acheni unafiki. Huyo Magufuli akiwa hai aliwafanyaje CHADEMA?. Si ndio huyo kaharibu chaguzi za 2019 na 2020 ili CCM ijae bungeni na kwenye Halmashauri. CCM wenyewe watumie upepo sio CHADEMA.
Nimetoa tu maoni mkuu , japo sijawahi kuwaelewa ccm ila nilimkubali magufuli sana na sera zake .
 
Kuna kitu umekieleza lakini kwa maandishi ambayo mtu anaweza asikuelewe.
 
Unaona ulivyo wa ajabu mimi namzunguzia JPM wewe unaleta mambo ya wabunge hapa. JPM aligombea ubunge 2020? angewazuia wagombea uraisi hapo ungekuwa na chakusema kuwa JPM aliogopa kushindwa that's why akawazui wapinzani wake. Vita ya wabunge ilikuwa baina ya wao kwa wao JPM anahusikaje hapo, ndio nasema punguza mihemko.
 
Mkuu hawa watu hawawezi kukuelewa ila majibu watayapata 2025, watarudi kusema wameibiwa kura wakati kosa lao ni kutokukubali ukweli kuwa JPM anawafuasi wengi ambao wangepaswa kuwapata.
Ni kweli wapinzani hawana saikolojia ya siasa na kampeni hawasemi mazuri ya JPM ili kulichukua kundi kubwa la JPM lililotelekezwa na ccm. Wakeup men. Badilisheni mfumo wa kampeni majukwaani.
 
Unajaribu kutuseti eti tulisifu lile shetani lenu la Chato!!
Unajaribu kutuseti ili tulisifu lile shetani lenu la Chato!!
Tutalisema tu no matter mpo wajinga wengi kiasi gani mnaoliabudia
 
Wewe ndio utumie akili. Bado unategemea mbeleko ya marehemu kuishi. CHADEMA hatujikombi kwa mtu. Tunajisimamia wenyewe. Ndio maana huyo Magufuli kapamabana na CHADEMA weeeeh! Mpaka akafa akaiacha CHADEMA inadunda
hapa siyo kujikomba ni kucheza na siasa. Politics is a game of chance. chadema fanyeni SWOT ANALYSIS
 
Mkuu hawa watu hawawezi kukuelewa ila majibu watayapata 2025, watarudi kusema wameibiwa kura wakati kosa lao ni kutokukubali ukweli kuwa JPM anawafuasi wengi ambao wangepaswa kuwapata.
Kushindwa upinzani haitokuwa mara ya kwanza, je mara zote hizo ilikuwa ni kwa sababu ya kulinanga lile shetani lenu la Chato?
 
Ok Mkuu, samahani
Usijali mkuu, nimeona tu japo magufuli alikua na mapungufu mengi tu ila ana upepo kutokana na wenzake kuzingua zaidi , nikaona kama huo upepo unaweza kutumika kisiasa, siujajua tena siasa zilivyo mkuu , mfano wa lowasa pia .
 
Mtaji wa lile jitu lao ilikuwa ni kwa hao 90%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…