Kinachofanywa na Mchungaji Msigwa hakina tofauti na kinachofanywa na CHADEMA, nadhani kuna haja ya kubadilika

CHADEMA wamepoteza kuaminika kwa wananchi kwanza baada ya gia ya angani.
Pili kuungana na wezi na vyeti feki kumpinga Magufuli
 
Wewe ndio utumie akili. Bado unategemea mbeleko ya marehemu kuishi. CHADEMA hatujikombi kwa mtu. Tunajisimamia wenyewe. Ndio maana huyo Magufuli kapamabana na CHADEMA weeeeh! Mpaka akafa akaiacha CHADEMA inadunda
Endeleeni kujidanganya
 
Wewe mburura tambua kuwa 90% ya wabunge wote waliopo bungeni sasa hivi waliteuliwa na Magufuli mwenyewe. Kama utabisha na hili wewe ni kiazi
 
Acha marehemu asimangwe alizingua mno,kwahiyo sisi sio wa mtaani
 
Propaganda zake zilidunda humu JF ndio akataka kuifungia.
 
Vyeti feki siyo issue kabisa. Mbona Magufuli mwenyewe alikuwa na PhD Feki lakini alipewa kuwa Rais wa Tanzania. Njoo na hoja nyingine
Matapeli na wezi aliwakomesha sana na kuwafirisi ndio maana mnamchukia 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…