Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Iv wewe unaona ule ulikua uchaguzi kwel au una mtindio wa ubongoMara nyingi comments zako kuhusu uchaguzi wa 2020 huwa negative sana
Mwaka 2020 hakukuwa uchaguzi bali Magufuli alitembeza UDITETA wake kwa kujipa 82% ya kura zote kupitia NEC na TISS.Hivi wewe jama uchaguzi wa 2020 walikukosea nini ?
We falasi hebu tuliaIv wewe unaona ule ulikua uchaguzi kwel au una mtindio wa ubongo
Huu ni mtazamo wakeMwaka 2020 hakukuwa uchaguzi bali Magufuli alitembeza UDITETA wake kwa kujipa 82% ya kura zote kupitia NEC na TISS.
Watu walikwenda vituoni kuweka alama ya wino kwenye vidole na siyo kupiga kura.
Mwaka 2020 aliamua kuziiba kura zote mwenyewe Magufuli kwa kutiki makaratasi kutokea Jamana Printers na Kambi ya Mbweni Kisha ma DSO na DED wakagawiwa makatasi yaliyopigwa. Zile kura tulizopiga wananchi hazikuhesabiwa kabisa.
Dhana ya kwamba Magufuli alikuwa anapendwa ni UWONGO
Nawakilisha Watanzania 10% wenye akili siyo nyinyi mazezetaHuu ni mtazamo wake
We unadhani kuna hata Asilimia 10 ya watu wenye akili tanzania?Nawakilisha Watanzania 10% wenye akili siyo nyinyi mazezeta
Sio kidogo, maana uchaguzi wenyewe ulikuwa negative mno. Huenda ww ulifaidika na ushenzi ule, hivyo huwezi kuona hatari.Mara nyingi comments zako kuhusu uchaguzi wa 2020 huwa negative sana
Ndiyo tupo mimi na wenzangu Milioni 6We unadhani kuna hata Asilimia 10 ya watu wenye akili tanzania?
Ok vizuriNdiyo tupo mimi na wenzangu Milioni 6
Vijana jitokezeni kupiga kuraSio kidogo, maana uchaguzi wenyewe ulikuwa negative mno. Huenda ww ulifaidika na ushenzi ule, hivyo huwezi kuona hatari.
ππππ Unaposema asilimia kubwa unamaanisha ???Kiuhalisia ukitoa sehemu ndogo ya watu ambayo ni watumishi wa Serikali na wanasiasa Asilimia kubwa ya wananchi wanaamini katika Hayati Magufuli na wanampenda .
Ukiingia humu jukwaani ,ukiwa ofisini na ukiwa kwenye kundi la wanasiasa utaona mnaongea lugha moja kuhusu JPM ambayo ni kama 80% siyo uhalisia wa mtaani . Mtaani hawaambii kitu kibaya kuhusu JPM wakakukubali hata ukiwa na ushahidi.
CHADEMA wanakwenda mikutano wanadai sera baada ya muda anasimama kiongozi anaanza mzungumzia vibaya hayati Magufuli kitu ambacho hapo alipo zaidi ya 80% wanaamini katika utendaji wake ,Unategemea nini ?
Vivyo hivyo kwa Msigwa Kiuhalisia ukitoa wanufaika wa mfumo wa CCM watu wanaamini katika Upinzani hususani CHADEMA mbali na mapungufu yake , kwa hiyo anaposimama na kuisema vibaya watu hawamuelewi hata wana CCM mule ndani baadhi hawamuelewi .
Hivyo CDM na msigwa kuna haja ya kubadilika mnafanya makosa yale yale ,someni .
Kama CHADEMA akisimama akinadi sera zake na kusimama na Mazuri ya JPM ambayo raia wanayaoona huko mitaani wataeleweka Sana .
Kiuhalisia ukitoa sehemu ndogo ya watu ambayo ni watumishi wa Serikali na wanasiasa Asilimia kubwa ya wananchi wanaamini katika Hayati Magufuli na wanampenda .
Ukiingia humu jukwaani ,ukiwa ofisini na ukiwa kwenye kundi la wanasiasa utaona mnaongea lugha moja kuhusu JPM ambayo ni kama 80% siyo uhalisia wa mtaani . Mtaani hawaambii kitu kibaya kuhusu JPM wakakukubali hata ukiwa na ushahidi.
CHADEMA wanakwenda mikutano wanadai sera baada ya muda anasimama kiongozi anaanza mzungumzia vibaya hayati Magufuli kitu ambacho hapo alipo zaidi ya 80% wanaamini katika utendaji wake ,Unategemea nini ?
Vivyo hivyo kwa Msigwa Kiuhalisia ukitoa wanufaika wa mfumo wa CCM watu wanaamini katika Upinzani hususani CHADEMA mbali na mapungufu yake , kwa hiyo anaposimama na kuisema vibaya watu hawamuelewi hata wana CCM mule ndani baadhi hawamuelewi .
Hivyo CDM na msigwa kuna haja ya kubadilika mnafanya makosa yale yale ,someni .
Kama CHADEMA akisimama akinadi sera zake na kusimama na Mazuri ya JPM ambayo raia wanayaoona huko mitaani wataeleweka Sana .
Hahaha sio roho mtaka vituMchungaji usimlaumu , anaongozwa na Roho Mtakatifu kama mnavyotuambia
Hakuna vijana wajinga wa hivyo tena. Kwenda kupiga kura zisizoheshimiwa ni matumizi mabaya ya raslimali muda. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura. Ila kwa sasa kujitokeza kupiga kura kwa mazingira haya ni upuuzi kama upuuzi mwingine.Vijana jitokezeni kupiga kura
Basi acheni kupiga keleleHakuna vijana wajinga wa hivyo tena. Kwenda kupiga kura zisizoheshimiwa ni matumizi mabaya ya raslimali muda. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yatarejesha heshima ya box la kura. Ila kwa sasa kujitokeza kupiga kura kwa mazingira haya ni upuuzi kama upuuzi mwingine.
Kelele tunaachaje kwa majiziBasi acheni kupiga kelele
Kwa hawa Gen Z wa TzKelele tunaachaje kwa majizi
Kwa mfano? Machafuko ndio kituo kinachofuata na sio kupoteza muda kwenye mstari wa kura.
Hawa hawa, kamuulize Elibashir wa Sudan nini kilimkuta baada ya kuwafanya wasudani mazombie kwa 30yrs.Kwa hawa Gen Z wa Tz
Yeye Magufuli aliwakosea nini walimu mpaka wamchukie hata baada ya kufa kwake?Iko wazi watumishi hasa waalimu ndio mnamchukia Magu