Kinachofichwa ni hiki, umeme ni tatizo kubwa kuliko tunavyoambiwa

Unyeti gani? Hizo zote ni huduma.
Sawa sawa
Hata hivyo serikali ya Samia umesikia kilio Chenu. Wameanza kuwapa makampuni binafsi yazalishe na kuuza umeme.
Kwa kuanzia wameanza na umeme wa migodini.
 
Sawa sawa
Hata hivyo serikali ya Samia umesikia kilio Chenu. Wameanza kuwapa makampuni binafsi yazalishe na kuuza umeme.
Kwa kuanzia wameanza na umeme wa migodini.
Sisi Wananchi tunachotaka ni Umeme NAFUU na wa UHAKIKA.

Hatutaki POROJO za CCM.
 
Sisi Wananchi tunachotaka ni Umeme NAFUU na wa UHAKIKA.

Hatutaki POROJO za CCM.
Mkuu elewa tu kuwa huu uhaba wa umeme ni mchongo wa wanasiasa. Na ndio maana hadi leo hakuna sababu za msingi tulizopewa kuhusu kukatika kwa umeme. Kila siku inazalishwa porojo mpya.
Magufuli aliliongelea hili kwa uwazi sana
 
Ungemsaidia kujibu swali langu!

Niambia mkakati wenu kama chama mkishika Dola mtafanya kipi kwenye umeme Kwa mstakabali ujao was taifa letu!!

Jibu hoja acha povu jingi!!

Sema sisi tumefeli hapa na pale nyie mtafanya hivi na vile!

Simple TU!
 
Ww kuna siku utapigwa ukose wa kukugombelezea 😂😂😂😂
 
Hivi tulitoka wapi na hii ccm jamani?
Mbona hakitaki kufa tupate unafuu nchi hii nzuri hivi!
 
kama utani lakini ndiyo ukweli mchungu
 
Mabwege kama wewe wamejaa inchi hii ndio mana maendeleo hakuna
Aliondolewa Lowasa kwa kashfa ya Richmond kuwa alikuwa ndo tatizo, kumbe ilikuwa uongo mtupu. Mzee wetu hadi kapata Ugonjwa wa moyo na tumemzika. Hadi anaingia kaburini hatujawahi kutamkiwa alikula ngapi, wengine wa ESCROW tuliambiwa na bado hakuna hatua yeyote hadi leo. Sasa tuambie bwege ni nani?
 
Ndugu
Hizi ndizo agenda ambazo thinktanks ndani ya CHADEMA kuja na wayforward mbadala wa huu uhuni unaoendelea.

Kila tatizo la wananchi mje na program chanya za kuyatatua.

Sisi wapigakura tunategemea sana wanasiasa makini nje ya CCM
 
Ndugu
Hizi ndizo agenda ambazo thinktanks ndani ya CHADEMA kuja na wayforward mbadala wa huu uhuni unaoendelea.

Kila tatizo la wananchi mje na program chanya za kuyatatua.

Sisi wapigakura tunategemea sana wanasiasa makini nje ya CCM
Ondoa shaka
 
Watanzania watulie umeme unakuja mwezi wa sita????
 

Hizo ni porojo za siku zote. Watu wanataka action si maneno, people are tired of maneno
 
Tatizo la umeme lipo nchini tangia 1958 kabla hata wakoloni hawwjaikabidhi nchi kwa Mwl. Nyerere
 
Kusema kuwapa makampuni ishu nyeti ya umeme ni sawa na kujiweka uchi kama nchi. Ni kuhatarisha usalama.
hakuna kitu kama icho,kitu nyeti kwenye nchi ni mawasiliano/data tu....wanasiasa wanatudanganya ili mambo yao yaende
 
Costly generation projects riddled with grand corruption, dilapilated transport/transmission infrastructure in need of overhaul following years of lackluster maintenance works also plagued by graft, …

Tuendelee kuishi na matumaini kuwa tatizo la umeme hivi karibuni litakuwa historia mara mradi wa JNHPP utakapokuwa fully operational.
 
Hatuwezi kuendelea na kuwa na umeme wa uhakika tukibaki kukumbatia umeme wa maji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…