Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,237 Reaction score 31,811 Jul 18, 2021 #41 Missile of the Nation said: Hii move ya utawala wa Samia inakwenda kuua Microeconomy! Click to expand... Halafu waziri wa Fedha ni Mwigulu Mchumi daraja la kwanza. Jamaa hajawahi kufanikisha jambo lolote kwenye wizara yoyote lakini bado wanamteua.so sad kwenye unaibu waziri wa Fedha alishia kutengeneza wafanyakazi hewa tu nchi nzima.
Missile of the Nation said: Hii move ya utawala wa Samia inakwenda kuua Microeconomy! Click to expand... Halafu waziri wa Fedha ni Mwigulu Mchumi daraja la kwanza. Jamaa hajawahi kufanikisha jambo lolote kwenye wizara yoyote lakini bado wanamteua.so sad kwenye unaibu waziri wa Fedha alishia kutengeneza wafanyakazi hewa tu nchi nzima.