Kinachokwenda kufanyika kwenye miamala ya simu, ni Serikali kuuchukua tena uchumi sadifu wa kati kwa walala hoi kwamba hawastahili kuwa nao

Kinachokwenda kufanyika kwenye miamala ya simu, ni Serikali kuuchukua tena uchumi sadifu wa kati kwa walala hoi kwamba hawastahili kuwa nao

Hii move ya utawala wa Samia inakwenda kuua Microeconomy!
Halafu waziri wa Fedha ni Mwigulu Mchumi daraja la kwanza.

Jamaa hajawahi kufanikisha jambo lolote kwenye wizara yoyote lakini bado wanamteua.so sad kwenye unaibu waziri wa Fedha alishia kutengeneza wafanyakazi hewa tu nchi nzima.
 
Back
Top Bottom