Kinachotokea kwa Diamond Platnumz sasa hivi

Yaani wabongo kila mawazo tofati yanatafsiriwa ni wivu
 
Ila watu wa WCB mnapenda kutumia haka ka sentensi "All in All".
 
Jamaa kwakweli yupo kwenye hali mbaya nyimbo anazoimba sahivi ni mbovu laiti kama angekua anaimba msanii ambae ndo anajitafuta kutoka kimziki kwakweli asingetoboa, sahiv watu wanaendelea kumfatilia lakin akiendelea na mwenendo mbovu wa namna hii atapoteza ushawishi na watu wataacha kumfatilia taribu mwsho apotee, hata kina Mr nice enzi zao hakuna alie amini ipo siku hakuna mtu atkua n Muda nae Tena ila wakat umefika sahiv hata hamorapa anaongelewa zaid ya Mr nice
 
Nilikutana mtaani na mzee mmoja, tukaketi chini akanipa soga...'mimi sitamsahau hau hau'

Alisema wangapi walikuwepo namba moja, sasa wamerudi chini ni vihoja....'watu wamewasahau hau hau'
Balozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…