Elections 2015 Kinana aanza ziara ktk Majimbo 64. Magufuli aunda kikosi kazi... Mkapa, Kikwete nao wajipanga!

Jopo la wataalam! ha ha ha! PHD za kisanii ha ha ha! Dr.Dimond, Porofesa Ali Kiba!! ha ha ha

Umesahau akina bulembo, nape, mwingulu, lusinde, Hawa wanapendekezwa kupewa PhD za mitusi ya kukufuru.
 
Mungu tupe ujasiri tupige na kulinda kura zetu. Nimesoma namba 9&10, Ina maana jamaa kelele zote zile hadi sauti inakatika na push up, kung fu sijui nini vingine hajui/hawajui watatekelezaje!. Tunashukuru walau mwaka huu wamekuwa wakweli kuwa ilani haitekelezeki kabla ya Uchaguzi.
 
haya yote amemtakia anayemnadi yaani kaka wa taifa
 
Haya ni mateke ya mwisho ya CCM.Hakika nawaambia CCM imekamatwa pabaya sana.Pumzi imekata katikati ya safari,hakuna wa kuikoa.Wanahaha kuwaleta wale ambao Magufuli anajaribu kuwaponda ili angalau aeleweke.Je wataongea nini kama sio hadithi za abunuasi?
 
Jopo la nini wakati tunaelekea kwy uchaguzi nchi ikiwa gizani?hayo maendeleo ya viwanda na uchumi wa mtu mmoja mmoja yatakujaje?kwa elimu yangu ya ngumbale niliyoipata siwezi kunpa kura yangu mgombea yeyote toka CCM!ngoja wengine nao wapewe nafasi,miaka nenda miaka rudi matatizo yale yale,hadithi zile zile
 
Mambo yote anayo yazungumzia wakati huu yalitakiwa yafanyiwe kazi miaka 10 iliyopita. Hakuna mtanzania atakaye kwenda kurudi nyuma katika safari ya kukiondoa chama hiki dhalimu. Dakika zilizo baki hata CCM wakaamua kwenda kuinunua nchi ya Uingereza yote na kuimiliki hakuna mwana mabadiliko yoyote atakaye kwenda kubadirisha uamuzi wa kuki nyima kura Chama Cha Mapinduzi.
 
Uozo mtupu. Sasa JPM hushindi unaanza kuandaa kazi ambayo ataifanya mwingine
 
Hahaha! Kazi kwelikweli! Isije ikawa shuka inakumbukwa asubuhi! Huko watapokwenda hao wengine wasanii watakuwepo pia!? Huyo Kinana si alishazunguka nchi nzima ina maana hawakumuelewa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…