Tetesi: Kinana agoma kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM

Tetesi: Kinana agoma kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM

Status
Not open for further replies.
aisee.. hiki chama kinaenda kumfia mtu kabala hata ya kumaliza muda wake, haiwezekani wazee wenye hadhi ya akina kinana ambao wameshiriki kwa kiasi kikubwa kuwaweka watu madarakani eti wakadhalilishwe na vikamati uchwara, ni bora wajivue tu kwani hamna namna!
Walitabiri chama kitamfia JK kabla ya uchaguzi 2015 kikavuka. Ccm ni taasisi sio watu Ccm ni zimwi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kufanya ufisadi wa kutisha ndio wanajifanya kuvua magamba.

Hao walitakiwa wakamatwe kwa makosa ya ufisadi kitambo sana, sema kwenye chama kuna kulindana kwa hapa na pale
 
Mashoga mmejazana hapo Ufipa mnashughulikiwa na Profesa na Saed!
Jinsi unavyorukia rukia mambo usiyayujua,lazima utakuwa Punga.
Na ntakutafuta nikupumulie kisogoni

Sent from my Nokia 6.1 using Tapatalk
 
Huo ni mtindo wa Chama twawala
Karibu na uchaguzi wanatema makamanda kadhaa hapo upinzani wakijiroga tu wakamchukua basi wameliwa
Hapo ni kazi ya kambi ya pili kujielewa kuwa huu ni mtego wao na wala sio eti wanatoka kimakosa
Its strategically and care be fully otherwise they will be great sinkers
Wamewatema au wamegoma kwenda kuhojiwa?
 
Mara nyingi niwaonapo wazee hawa huwa naikumbuka vita ya Kagera iliyomng'oa dikteta nduli fashisti Iddi Amini Dada pale Uganda.

Wakati huo nilikuwa nafanya kazi pale TRC Mwanza station......hakika niliwashuhudia wapiganaji wetu WAZALENDO wengi wakielekea vitani. Nasi tulitoa kila aina ya msaada uliohitajika ili kuwawezesha wapiganaji hawa.

Ndio maana siku mzee Lowassa alipotangaza kujiuzulu uwaziri mkuu sikushangaa kabisa.

Na hata nikisikia mzee Kinana na mwenzie Makamba wamestaafu siasa na kurudisha kadi za chama cha siasa kwa wamiliki wa kadi sitashangaa.

Kuchukua maamuzi magumu ni sehemu ya maisha ya mjeda popote pale duniani.

Nawatakia Dominika yenye Baraka!
Huyo lowassa lini kawa captain? Naanza kuondoa credibility yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom