Tetesi: Kinana agoma kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM

Tetesi: Kinana agoma kufika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM

Status
Not open for further replies.
Kwa maoni yangu wamefanya uamuzi wa busara kuachana na chama chao. Ningeshangaa watu waliokalia nyazifa za juu kabisa kama Katibu Mkuu kuuojia na makada wa chini yao kisa ni maagizo. Pili wale ni Mwanajeshi professionally sio rahisi kujisalimisha kirahisi. Mentality ya kijeshi bado wanayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza mpaka sasa bado hakuna uthibitisho kuwa hili ni kweli, lakini ikitokea likawa kweli, Kinana na Makamba wakajitoa CCM kwasababu ya kile kinyangarika, then huu utakuwa ni uthibitisho kuwa wamegundua kile kinyangarika kinatumwa tuu, hivyo ili kulinda heshima zao, wakaamua kujiepusha na CCM.

Kitendo cha watu waliokipigania chama kwa machozi, jasho na damu katika maisha yao yote, halafu, wakaja kuchafuliwa na kudhalilishwa na kinyangarika fulani ambacho kinatumwa, karma ya Kinana na Makamba ni kubwa, hivyo kama hii ni kweli, then just sit and watch jinsi karma itakavyo kishughulikia hicho kinyangarika na anayekituma!.
P
Duh! Mkuu inaonekana huyo ''kinyangarika' ana ushawishi mkubwa ndani ya chama kuliko hao wazee hivyo hakuna wa kumkemea.
 
Huo ni mtindo wa Chama twawala
Karibu na uchaguzi wanatema makamanda kadhaa hapo upinzani wakijiroga tu wakamchukua basi wameliwa
Hapo ni kazi ya kambi ya pili kujielewa kuwa huu ni mtego wao na wala sio eti wanatoka kimakosa
Its strategically and care be fully otherwise they will be great sinkers
 
Lakini inakera sana......

Wao makatibu wakuu wastaafu wa CCM walimwandikia barua Msekwa, kuelezea kusikitishwa kwao na kitendo cha mwanachama mwenzao Musiba, kuwadhalalisha na kuwaita kuwa wanamkwamisha Rais Magufuli katika juhudi zake za kuwaletea maendeleo watanzania........

Badala ya Kamati hiyo ya maadili kumwita pia huyo anayeitwa Musiba ili kumhoji kuhusu tuhuma zake ili aeleze hao makatibu wakuu wastaafu wanakwamisha vipi juhudi za Rais katika kuleta maendeleo, badala yake wanawaita hao makatibu wakuu wastaafu ili wajibu tuhuma za sauti zao kuvuja ikidaiwa kuwa wanamkashifu Mheshimiwa Rais!

Ndiyo tatizo la huyu jamaa, kutaka kukiendesha hiko chama chake kwa ubabe, badala ya nguvu ya hoja
Ulisisikia zile audio clip wewe bavicha au uko obsessed na musiba?
 
Exactly
Sijawahi kuona mwanajeshi anaekubali kuburuzwa na asiye mwanajeshi aliyemzidi cheo.

Nionavyo, namna pekee ya kuwahoji hao wazee ni kuwaomba miadi (appointment) na kuwafata majumbani kwao, kwa heshima zote wanazostahiki kwa umri wao na nyadhifa zao walizostaafu, na kufanya nao mahojiano ya kistaarabu.

Huwezi kuwaweka kitimoto hao wakakubali. Hawana cha kupoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona Madame FaizaFoxy umeamua kuutema ukweli wa mambo

Itakuwa vyema kwa kila mwananchi ampinge huyu jamaa, kwa haya maovu yake anayolifanyia Taifa hili
Madam anataka rais muislamu. Na hapo kawatetea waislamu kwa kofia ya wanajeshi wastaafu, membe ni mkristo hajamtaja.
 
Tunachotazama hapa ni wao kukataa kuhojiwa na kamati yenu, hiyo ndiyo habari ya mujini.
 
Kundi limejigawanya

1. Nyie Kaombeni msamaha kwa kuwa bado Juniors

2. Wewe nenda kahojiwe na uwaeleze kinagaubaga japo Kamati tunajua itachuja maneno na kuishia kusema kwa aliewatuma '... Hakuwa na hoja yoyote zaid ya blaa blaa...' badala ya kumueleza ulichosema

3. Nyie msiende kabisa.


Hapo mtakuwa mmetumia options zote tatu zilizopo so mpira tunaurudisha upande wao nao wacheze



Mshauri wa Wazee wanaodhalilishwa chamani na Wahamiaji haramu, Field mashal ........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inauma sana, huku wakikumbuka wamemfanyia mtu kampeni mpaka leo hii yupo madarakani atokee muhuni tu na aanze kuwabeza, aisee...!
Tenda wema ondoka zako. Kama walitegemea kupewa shavu wasahau. Nao waliingia sisiemu kwa kubebwa na mtu.
 
There comes a time a man is gotta do what a man is gotta do- big up majeda.
 
Kundi limejigawanya

1. Nyie Kaombeni msamaha kwa kuwa bado Juniors

2. Wewe nenda kahojiwe na uwaeleze kinagaubaga japo Kamati tunajua itachuja maneno na kuishia kusema kwa aliewatuma '... Hakuwa na hoja yoyote zaid ya blaa blaa...' badala ya kumueleza ulichosema

3. Nyie msiende kabisa.


Hapo mtakuwa mmetumia options zote tatu zilizopo so mpira tunaurudisha upande wao nao wacheze



Mshauri wa Waasi, Field mashal ........

Sent using Jamii Forums mobile app
Naanza kuuona moshi mwekundu ukifuka kutoka kwenye himaya ya wana ccm pale lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom