Kinana kuongea na mamlaka bodaboda wabebe abiria zaidi ya 1 (mshikaki)

Hafai kabisa!
afai
 
Wanajua wanawaongoza wapmbv na wajinga ,huoni hapo bodaboda wanashangilia

Ova
 
Nimeshangaa kuona na kusikia Kinana akiwaambia bodaboda kuwa ataiambia mamlaka ya usimamizi usalama barab

Una mtazamo gani juu ya kauli hii?.
Mungu utuhurumie hawa viongozi wetu kwakweli ni zaidi ya tunavyo fikiria, yaani kweli kuruhusu kuvunja sheria kwaajili ya manufaa ya wao kubaki madarakani? Kitaalamu hawaangalii wao wanaangalia wao kupata kupigiwa kura? Mungu awasamehe.
 
Nakaribia kufika tamati ya uchunguzi wangu! Kwamba watu wenye vichwa visivyo na kisogo, yaani flat akili zao ni ndogo sana"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hizo kauli zao,
Sometimes waweza fikiria kuwa hao jamaa ni wagonjwa…!
Kutunza ulimi ni hekima kubwa sana..
 
Nakaribia kufika tamati ya uchunguzi wangu! Kwamba watu wenye vichwa visivyo na kisogo, yaani flat akili zao ni ndogo sana"
Na ndomana karibu ya watu wote wenye utindio wa ubongo, vichwa vyao nyuma vipo flat
 
Hawa wazee naona wasiwe wanapewa vipaza sauti sasa
Kama ni ushauri wawe wanatoa kimya kimya kwenye vikao vyao vya ndani
 
Watanganyika tumieni akili hao wageni hawana uchungu na nyie hata mkifa
 
Wakati huo maeneo mengi Noah hazisajiliwi tena kubeba abiria kisa ajali ila zinabeba bila vibali na hivyo kuikosesha pesa mapato.
 
si kinana wala mtoto wake SABRA anayepanda bodaboda so hajui kinachotokea huko barabarani shenzi huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…