Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

Ulitaka wafanyaje?? Njia aliyokuwa anatumia mwendazake haijaleta matunda yoyote yale. Umesahau enzi zile walivyotaka kumteka Msigwa akitokea Gereza la Segerea??
My point is kwa nini chadema tu na sio vyama vingine?
 
HONGERA KWA MAJADILIANO MUNGU AYASIMAMIE YAPATE MUAFAKA
 
Km una mke zaidi ya mmoja, na wake zako wameamua kupatana kua makini sana...something fish is cooking...
Na hili tunaliona kwa jinsi walivyoukalia kimya mfumuko wa bei, Umeme na Maji...
 
Kinana atakuwa anawafundisha siasa...waachane na harakati za mahakamani..wajue siasa..
Wajue Ku compromise madogo ili wapate makubwa...
Siasa sio kushinda Kesi mahakamani
Jambo lipi dogo la ku compromise na lipi kubwa watalipata?
 
Je ni kwasababu hatukuchagua upande!!?

Kule wanakopigana!?
Sie tangu mwanzo hatufungamani, hata Israel Juzi waligoma kupeleka majeshi Ukraine.

Bt Mashariki ya Kati ndo Dira ya Dunia inakoelekea.

Tunahitaji viongozi wenye maono Ili tuanze kuandaa hazina ya vyakula, mafuta nk, Si kama tunavyojiendea nw.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…