Awuot
JF-Expert Member
- Nov 10, 2018
- 1,172
- 1,402
Wakitoka huko wanaanza uchambuzi wa mpira na kubeti.Hawa watoto wanaoshindia habari za Diamond na kondeboy?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakitoka huko wanaanza uchambuzi wa mpira na kubeti.Hawa watoto wanaoshindia habari za Diamond na kondeboy?
Wanajadiliana jinsi ya kugawana buyu la asali...
Wanasiasa ni wabinafsi sana... Kinachojadiliwa sio kwa niaba ya wananchi bali jinsi gani watashea kutafuna mali za Taifa..
Ukiniambia au Ukinionyesha Mbowe au Kinana kama wana uchungu wananchi, na wanajadiliana kwa manufaa ya wananchi...Nitambea kwa miguu Dar to kigoma
Kuwafunda akina nani???Mwizi akikufundisha wizi utamkubali kama una akili timamu???Eti majizi yawafunde CHADEMA nendeni mkawafunde TLP.Naamini viongozi wangu wa CCM lazima wamewafunda na kuwafundisha masuala ya kiuongozi ya kuwa na vifua na kuwa Wasiri wakati vikao vinaendelea, Bila Shaka lazima semina ilitangulia ya kuwapa viongozi wa chadema ili wajuwe umuhimu wa wao kushiriki katika vikao hivyo na Nini kinapaswa kufanyika wakati mazungumzo yanaendelea ndio maana unaona viongozi wa chadema wamegoma kusema kilichozungumzwa maana wameshalishwa madini toka CCM ya namna ya kuwa na subiri ya midomo yao,
Hicho ndicho huwa naandikaga humu kuwa kiongozi unapaswa kuwa na kifua ,Mtulivu,Busara,Subira na hekima, kujuwa wakati gani uongee na wakati gani ukae kimya, siyo kupelekeshwa tu na mihemuko ya vijana wao wanaowaka Kama Moto wa petroli, Naamini Nguli wa Siasa ndugu Kinana amefanya kazi kubwa ya kuwaelimisha viongozi wa Chadema ndio sababu ya kuona wamebadilika kitabia na kuwa Wasiri
Nawapongeza katika hili na waendelee hivi hivi mpaka mwisho wa mazungumzo yao, wawe wenye Subira,hekima,busara,utulivu na kujuwa umuhimu wa usiri wakati mazungumzo yanaendelea, siyo kukimbia tu kuripoti mambo ambayo hayapaswi kuripotiwa au kutolewa hadharani wakati bado hawajafika mwisho wa mazungumzo, lazima wajuwe hata mwisho wa mazungumzo Ni Nani atapaswa kuzungumza kwa kila upande hasa chadema maana kwa CCM hakuna shida maana ndio chama kiongozi kinachojuwa utaratibu unaopaswa kuwepo na kufuatwa
Kiukweli Mimi Lucas Mwashambwa Najivunia Sana kuwa mwanachama wa CCM, kwa kuwa hiki Ni chama kilichokomaa kisiasa, chenye hadhina ya viongozi katika kila idara ,CCM Ni chuo Cha uongozi na mahali pekee ambapo wanachama wote tuna nafasi sawa ,hakuna ubaguzi Wala unyanyasaji ndani ya CCM,
Kazi iendeleee
Na tunasikia 4 t zimekopwa ndani ya wiki! Mtaani kuna mgao wa umeme, hakuna maji, hakuna dawa, .... Shida za kihistoria.
Kama wananchi wenyewe wanakenulia meno magumu yote yanayoendelea sahau kuwa yatapiganiwa na wanasiasa.Km una mke zaidi ya mmoja, na wake zako wameamua kupatana kua makini sana...something fish is cooking...
Na hili tunaliona kwa jinsi walivyoukalia kimya mfumuko wa bei, Umeme na Maji...
Naamini viongozi wangu wa CCM lazima wamewafunda na kuwafundisha masuala ya kiuongozi ya kuwa na vifua na kuwa Wasiri wakati vikao vinaendelea, Bila Shaka lazima semina ilitangulia ya kuwapa viongozi wa chadema ili wajuwe umuhimu wa wao kushiriki katika vikao hivyo na Nini kinapaswa kufanyika wakati mazungumzo yanaendelea ndio maana unaona viongozi wa chadema wamegoma kusema kilichozungumzwa maana wameshalishwa madini toka CCM ya namna ya kuwa na subiri ya midomo yao,
Hicho ndicho huwa naandikaga humu kuwa kiongozi unapaswa kuwa na kifua ,Mtulivu,Busara,Subira na hekima, kujuwa wakati gani uongee na wakati gani ukae kimya, siyo kupelekeshwa tu na mihemuko ya vijana wao wanaowaka Kama Moto wa petroli, Naamini Nguli wa Siasa ndugu Kinana amefanya kazi kubwa ya kuwaelimisha viongozi wa Chadema ndio sababu ya kuona wamebadilika kitabia na kuwa Wasiri
Nawapongeza katika hili na waendelee hivi hivi mpaka mwisho wa mazungumzo yao, wawe wenye Subira,hekima,busara,utulivu na kujuwa umuhimu wa usiri wakati mazungumzo yanaendelea, siyo kukimbia tu kuripoti mambo ambayo hayapaswi kuripotiwa au kutolewa hadharani wakati bado hawajafika mwisho wa mazungumzo, lazima wajuwe hata mwisho wa mazungumzo Ni Nani atapaswa kuzungumza kwa kila upande hasa chadema maana kwa CCM hakuna shida maana ndio chama kiongozi kinachojuwa utaratibu unaopaswa kuwepo na kufuatwa
Kiukweli Mimi Lucas Mwashambwa Najivunia Sana kuwa mwanachama wa CCM, kwa kuwa hiki Ni chama kilichokomaa kisiasa, chenye hadhina ya viongozi katika kila idara ,CCM Ni chuo Cha uongozi na mahali pekee ambapo wanachama wote tuna nafasi sawa ,hakuna ubaguzi Wala unyanyasaji ndani ya CCM,
Kazi iendeleee
Mfumko wa bei na tatizo la maji na umeme mahala pake sahihi pa kujadiliwa ni Bungeni kwenye 99.99% ya wabunge toka CCM. Sasa kama CCM ndiyo wenye serikali na Bunge ulitaka wajipinge wenyewe!!??Na hili tunaliona kwa jinsi walivyoukalia kimya mfumuko wa bei, Umeme na Maji...
Wewe huoni chadema walau wamebadilika kidogo kitabia na kuwa na Tabia za kiutu uzima za kuwa na Subira na utulivuKuwafunda akina nani???Mwizi akikufundisha wizi utamkubali kama una akili timamu???Eti majizi yawafunde CHADEMA nendeni mkawafunde TLP.
Yanaanza lini hayo maonob, niyasubiri Kwa kigoda kabisaSifa kuu ya HORSE ni uwezo wake wa kunusa harufu ya ......inayotokea mbali.
Pana unabii wa kidunia juu ya mwaka mpya wa kiyahudi unaoquote Oct Hadi march 2023.
Mwaka ujao patakuwa na ......halisi ktk mataifa mbalimbali na Si TETESI tu kama ilivo sasa.
Mmoja wa waonaji ameona kundi la watu wakikimbia naye akiwemo amebeba mtoto mgongoni na wanashambuliwa Kutoka JUU na maadui Kutoka nje.
Tuendelee kuomba Kila mmoja Kwa nafasi yake Ili Mungu atuepushe nafsi zetu tusiangamie, maana kuzuia ni ngumu sababu hayo yameruhusiwa yaje duniani baada ya muhuri wa nne kufunguliwa sawasawa na kitabu Cha UFUNUO.
Mwizi azidi kuiba, Mwovu aongeze UOVU, bt Mtakatifu azidi kujitakasa.
Ameeeen.
Hilo la Chenge na rasimu ya Warioba kuna uhusiano gani?Mamlaka inauliza CDM ikiwa COVID watatimuliwa, je watapeleka wabunge wapya?
Mikutano ndo imeanza hivyo baada ya CDM kustuka kuwa hapakuwa na Sheria yeyote ilowazuia kufanya mikutano.
Uwepo wa CHENGE ni kuthibitisha unabii juu ya kupatikana KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA by 2026.
Soon utamwona Mzee WARIOBA ndani ya Tume na mchakato ukianza.
Bt HORSE amenusa harufu ya.......mwaka ujao, tuendelee kuomba maana majirani hawatupendi na hawatotupokea kikinuka.
Bila kupewa semina na ndugu Kinana mpaka muda huu wangekuwa wameshaanza kusema kila mtu na lake Kama kawaida yao ya kutaka kuwa wakwanza,maana ndani ya Chadema kila mtu Ni kambaleWalishindwa kumfundisha kinana aache kumsema vibaya Magufuli kwenye simu ndio waje kuwandisha CHADEMA ambao hawapokei ruzuku ya serikali kwenye kipindi kigumu hiki.
Walitakiwa CCM ndio wajifunze kwa CHADEMA jinsi gani walivyoweza kusurvive miaka miwili bila rizuku ya chama.
Kwa sababu CHADEMA ni Chama cha Demokrasia na Maendeleo,wanapaswa kutulia ili waone ccm ndani ya muda wa miaka mitano watakavyoipaisha nchi bila ya CHADEMA na vyama vingine vya upinzani,kama waliondlewa kimakusudi inabidi nao watulie kimakusudi.Wewe huoni chadema walau wamebadilika kidogo kitabia na kuwa na Tabia za kiutu uzima za kuwa na Subira na utulivu
Hawa wavaa skin jeans,washabikia nyimbo za sodoma na gomora huku wakishinda mabar na clubs wakitingisha matako usiku kucha na kwaito?!! Hawa Hawa role models zao WBC hawamjui hata Kolimba ama Imran Kombe achilia mbali Mabere Marando ama Mtikila?!!Kuna siku CCM, CDM na ACT wataamka watajikuta wapo out of touch na wananchi.
Hawa vijana chini ya 30 watakuja kubadilisha siasa za hii nchi.
Nani amefungua kesi mahakamani?Kinana atakuwa anawafundisha siasa...waachane na harakati za mahakamani..wajue siasa..
Wajue Ku compromise madogo ili wapate makubwa...
Siasa sio kushinda Kesi mahakamani
Hakuna upinzani Tanzania. Kinana anawaambia nyie tulieni tule wote. Familia na vilembwe wetu wafaidike. Achaneni na majority ya watanzania wajinga hohehahe.
Km una mke zaidi ya mmoja, na wake zako wameamua kupatana kua makini sana...something fish is cooking...
Na hili tunaliona kwa jinsi walivyoukalia kimya mfumuko wa bei, Umeme na Maji...
Mazingira mazuri ya siasa ndiyo yatakayoketa hali nzuri za maisha ya wananchi.Siasa ndio kila kitu.leo tunalalamika maisha magumu bila kujua hiyo inatokana na matokeo ya siasa zetu.siasa iko kila mahali kwahiyo kazima ijadiliwe kwanza ili kupitia siasa nzuri wananchi waneemeke.KWAO NI KUBORESHA MAZINGIRA YA SIASA.. SIO MAISHA YA MTANZANIA...
LILE SWALI MLIKUWA MNAULIZA WALE AKINA ZITO NA MBOWE MBONA KIMYA... HILI NDILO JIBU...
MAGUFULI ALIWANYIMA MAZINGIRA YA KUFANYA SIASA NA KULA PESA ZA BURE... SAMIA KAWAPA..