Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

Hilo la Chenge na rasimu ya Warioba kuna uhusiano gani?
Chenge ndo mwandishi wa KATIBA ya sasa na Sheria zake,

Hivyo umuhimu na ueledi wake ktk mambo hayo Si wa kutiliwa shaka.

Magu alinywea alipoambiwa wazi kuwa hayupo na hajazaliwa wa kumfunga Kwa Katiba na Sheria alizoandika mwenyewe.
 
Semina lazima ilitangulia kabla ya kikao kwa ajili ya kuwafunda viongozi wa chadema kuhusu na kuzingatia Sheria na maadili ya kikao, siyo kuanza kuongea ongea tu Kama walivyozoea kufanya, ndio maana unaona leo walau wamejirekebisha baada ya kupewa madini toka kwa nguli wa sayansi ya siasa ndugu Kinana

Hakuna Cha semina. Kikao cha kwanza kilifanyika ikulu. Hichi Ni Cha pili.
 
Sasa Kama watu wamepigwa na tozo, mfumuko wa Bei, mgao wa umeme, mgao wa maji na rushwa juu lakini wanaikenulia CCM mdomo utafanyaje ?. Wananchi hawajihurumii Nani atawahurumia?
Halafu matatizo yote hayo hayajaletwa na CHADEMA bali na CCM, lakini lawama wanataka kuzitupia kwa CHADEMA,

Hawa watu vipiii??
 
Wananchi wanao Wenyeviti wa vijiji/mitaa, madiwani, wabunge na Rais. Unataka watu wasiotajwa kikatiba kushughulika na matatizo ya watanzania wafanye kazi isiyowahusu?
Kinana au Mbowe haiwahusu sio? Kwaiyo hiyo mikutano ya siasa watafanyia Zimbabwe?
 
Kinana au Mbowe haiwahusu sio? Kwaiyo hiyo mikutano ya siasa watafanyia Zimbabwe?
Kwani kwa kuwa kuna hayo matatizo vikao vingine ndiyo haviendelei? Wawakilishi wako kwa hayo matatizo uliyoyaorodhesha ni Wenyeviti wa vijiji/mitaa, madiwani, wabunge na Rais, WALALAMIKIE HAO.
 
Kuna mahala tunaogopa kuwa nayo
Labda visiwa wanataka mengi who knows
Haiwezekani wakajivuta hivi tangu JKN
Alisema kwa katiba hii anaweza kuwa Dictator lakini hakubadili why?
Hapakuwa Bado na mfumo imara wa Vyama mbadala vya kuipokea CCM.

Matatizo yetu makubwa yalianzia kwenye NDOA ya kulazimisha na pwani, tumewalipia umeme tangu uhuru Hadi Magu alipotikisa kdg.

Mikopo tukikopa wanadai Tuigawe pasu ila kulipa wanasema alipe MUME. Serikali 3 zitafaa sana, Nchi itapumua.
 
"Ile kesi ya covid-19 imekaa vibaya,wanamtaka hao covid-19 waendelee kubaki au wakitemwa wachaguliwe WENGINE ILI uhalali wa kisheria wa Bunge uwepo ILI lisipoteze uhalali kisheria kimataifa HASA kidemokrasia wasije pia kosa misaada na mikopo kutoka kwa wahisani"
✍️ 👍
 
Mbowe ni "mwenyekiti" wa CHADEMA. Kukaa kwenye kikao na Kinana ni kujishushia hadhi yake.

Ilifaa Mbowe akae na Samia ambaye pia ni mwwnyekiti wa CCM.

Ifikie mahali hawa wenyeviti wa vyama vya upinzani watambue heshima ya nafasi waliyonayo kama anavyoitambua mwwnyekiti wa ccm.
 
Back
Top Bottom