Kinana, Mbowe, Vuai, Mnyika, Chenge na Heche wajifungia kwa vikao vya saa 4 Courtyard

Kufanya siasa kwa Uhuru ndio muhimu kuliko kero za wananchi kuhusiana na tozo na mfumuko wa bei, kero za maji na umeme?

Kataa au kubali wanasiasa wa Afrika ni wa Binafsi, wanashughulikia matumbo yao tu.
Inaonekana hata hujui siasa ni nini.Hizo huduma zote za jamii zinapangwa na kusimamiwa na wanasiasa sasa utaachaje kuijadili siasa kwanza.Swala la ubinafsi waviongozi ilo tatizo tuulizwe sisi wananchi kwasababu sisi ndio ambao hatujielewi hadi viongozi tunaowachagua wenyewe wanakua hivyo.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Well haya sasa tutakubali kila kitu maana wao ndio wameshika mpini kwa mikono miwili
 
CCM
CHADEMA
SIMBA
YANGA
DIAMOND
ALIKIBA
Mwamposa
Gwajima n.k km yeye
UZINZI
Ulevi

Hayo ndo Mambo hatari na yanazalisha Mazuzu
 
KAMA NI HIVYO NI SAWA ILA VIKAO HIVYO HIVYO WAKIKAA NA ZITO MNAANZA MATUSI, MFANO ANGEKUWA NI ZITTO UNGEONA MITUSI HAPA AU UNGESIKIA CCM B HUYOO,CJUI MSALITI NK, MKOMAE MUACHE UTOTO
 
Hakuna upinzani Tanzania. Kinana anawaambia nyie tulieni tule wote. Familia na vilembwe wetu wafaidike. Achaneni na majority ya watanzania wajinga hohehahe.
Mwanasiasa usitegeme kukuletea mabadiliko....
Mabadiliko ya kweli huletwa na watu
(Umma)

Ova
 
Kinana au Mbowe haiwahusu sio? Kwaiyo hiyo mikutano ya siasa watafanyia Zimbabwe?

Leo ndio mmemuona Mbowe wa maana. Wilaya moja Ina wabunge, Mkurugenzi, DAS, katibu mtendaji kila kata, madiwani, wenyeviti wa Kijiji, wenyeviti wa mtaa na wenyeviti wa vitongoji.
 
Viongozi wa chadema lazima wapewe semina ya utangulizi ili wasije toka hapo na kuanza kuongea ongea tu hata kabla mazungumzo hayajafika mwisho

Punguza dharau. Unaona aibu Kinana kukakaa na Mbowe wakati kila siku wewe unawasema vibaya CHADEMA.
 

Makamu Mwenyekiti ndio humuwakilisha Rais kwenye vikao vingi maana muda mwingi yupo busy .
 
Punguza dharau. Unaona aibu Kinana kukakaa na Mbowe wakati kila siku wewe unawasema vibaya CHADEMA.
Hapana mkuu Mimi nafurahi wakikaa pamoja viongozi wetu ili kujenga mshikamano na upendo miongoni mwetu ili tuishi kwa amani na kuaminiana, Sote tunajenga Taifa moja hivyo lazima kila mtu ajione Anayo nafasi katika ujenzi wa Taifa letu na ajisikie fahari kuwa sehemu ya Tanzania
 
Wewee jamaaa Political sayansi ilikupita nyuma sasa unaongelea mlango wa mbele. Yaani sjapata ona msomi yeyote katika ulimwengu huu akawa mda wote ni kusifia hata vitu vya ovyo ovyo sjapata ona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…