Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Video toka maktaba, Mh. makamu wa Rais na mwanachama wa CCM Dr. Samia Hassan akionesha kuwakubali wapinzani wenye hoja.
Ccm haina uwezo wa kutangazwa washindi wa kura halali, mnaweza kutangaza washindi kutokana na mfumo mbovu wa uchaguzi kutokana na katiba hii, lakini sio kwa uchaguzi halali. Hilo haliwezekani na halitakaa liwezekane tena. Ukiona hujuma zote mlizowafanyia cdm na Bado cdm haiwapi Raha, basi mjue siku zenu zilishapita na mko madarakani kwa shuruti.Mkija kushtuka tayari CCM imetangazwa mshindi kupitia sanduku la kura
Naunga mkono hoja, Chadema ni kama maji usipoyanywa, utayaoga na siku ya mwisho yatakuosha!.Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
Ila katika watu wanapenda kujipa nguvu wasizonazo, nyie hamkosi.Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .
Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .
Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
Kumbe maji ya mezani yanapatikana bila kutiririka! Chanzo cha maji yaliyotulia ni kutulia? Chuki huondoa uwezo wa kufikiri.Naunga mkono hoja, Chadema ni kama maji usipoyanywa, utayaoga na siku ya mwisho yatakuosha!.
Kwa vile maji yako ya aina nyingi, yako maji yaliyotulia kama maji ya mtungi, yapo maji tiririka, yanapita yanakwenda, yapo maji ya uzima, yapo maji ya kuoga na kuosha, yapo maji ya ku flashia, yapo maji ya mvua inanyesha, yanazama etc etc,
CCM ni maji ya mezani, maji ya kunywa, maji ya uzima, ndio maana CCM wako mezani, karamuni wanajilia na kushushia na maji, huku nchi inasonga.
Jee Chadema ni maji ya kwenye kundi gani?, maji ya mezani wenyewe wapo!
P
Kuna vya kuiga na ambavyo si vya kuiga, we can't copy by 100% from others, tunaweza kutengeneza katiba huru kwa mfumo wetu vile tunaona unafaa, kwa mazingira yetu sisi kama watanzania.Kwani tume Huru tayari??
Samia pia alikwisha ingia alihudhuria mkutano mkuu wa bawacha,amemkaribisha Mbowe ikulu,amechangia 150mil kanisa la chadema ameruhusu mikutano ya kumshambulia usiseme katiba kipindi cha magufuli ilikuwa kimya mkatii bila shuruti,amewachia muandamane mfumo gani tena ambao hajaingia na tume pia amewaachia muiteue nyinyi chadema!Nimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .
Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .
Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
UmekurupukaNaunga mkono hoja, Chadema ni kama maji usipoyanywa, utayaoga na siku ya mwisho yatakuosha!.
Kwa vile maji yako ya aina nyingi, yako maji yaliyotulia kama maji ya mtungi, yapo maji tiririka, yanapita yanakwenda, yapo maji ya uzima, yapo maji ya kuoga na kuosha, yapo maji ya ku flashia, yapo maji ya mvua inanyesha, yanazama etc etc,
CCM ni maji ya mezani, maji ya kunywa, maji ya uzima, ndio maana CCM wako mezani, karamuni wanajilia na kushushia na maji, huku nchi inasonga.
Jee Chadema ni maji ya kwenye kundi gani?, maji ya mezani wenyewe wapo!
P
kila siku siyo jumapiliNonsense threads, ccm with his muscles haiwezi kuhisi chochote kwa chadema, kwani ina kila uwezo na pia inachapa kazi za kuonekana, Makonda shughulika na watu wa chini kwani ndiyo wapigakura, na ndiyo wanaoonewa mno!, na ndiyo 85% ya watanzania
Sikiliza na tatua kero zao papo kwa papo, kwa wanaolalama hawana utambuzi ya kuwa unawarahisishio wao katika chaguzi.
Usichokijua ni hiki , CCM ina wenyeweIla katika watu wanapenda kujipa nguvu wasizonazo, nyie hamkosi.
Hapo mmeshapigwa sana kisiasa na Mh. Makonda mmebaki kulia lia then ndiyo CCM itishike na ninyi? Bahati mbaya sana hakuna chama mpaka sasa Cha upinzani ambacho ni tishio Kwa CCM, while the fact is wananchi nao wamechoka na CCM kwakua Kuna baadhi ya watendaji ndani ya serikali ambao wanaichafua CCM mbele ya commoners. Shida ya CCM ni katika serikali iliyoiunda ambayo imerithi utendaji kazi wa mazoea. CCM kama chama no chama ambacho kimejipambanua kuwa Cha watanzania wote pasipo ubaguzi, japo Kuna wachache sana wanatamani kukimiliki lakini wameshindwa
Naunga mkono hojaNimefuatilia hotuba ya Kinana aliyoitoa kwa Wanaccm Wenzake , katika kile kinachoitwa Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa chama hicho , kwa zaidi ya 95% hotuba ya Kinana iliihusu CHADEMA .
Hivi ndivyo alivyofanya Nchimbi kabla ya kuishiwa maneno , na ndivyo anavyofanya Makonda kote anakopita .
Aliyebaki na ambaye anasubiriwa kuiimba Chadema ni Samia Suluhu ambaye ni mwenyekiti wa ccm , Taarifa zinadokeza kwamba tayari kishaandaliwa hotuba itakayomuingiza kwenye Mfumo huo .
Sasa ndio muwe mnaelewa tunaposema Chadema ni kama Maisha au maji , haikwepeki .
swali zuri sanaHii inasaidia nini kwenye maono yenu?