KINANA: Rais Samia anaongea polepole ila matendo yake ni mazito

Jesusie

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2021
Posts
1,466
Reaction score
766

Chama Cha Mapinduzi kimesema licha ya Rais samia suluhu Hassan huzungumza polepole lakini vitendo vyake katika utekelezaji wa sera za maendeleo zimekuwa motomoto.

Pia, serikali yake kwa muda mfupi imeaminika na kuheshimika kikanda na kimataifa.

Matamshi hayo yametamkwa jana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana alipokuwa katika Manispaa ya jiji la Mbeya.

Kinana alisema Rais Samia amekuwa kiongozi wa mfano ambaye kwa kipindi kifupi cha mwaka mmoja amekubalika katika medani za kidiplomasia huku akiaminiwa na taasisi za kimataifa.

Akizungumzia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020-2025, alisema serikali yake imekuwa ikitekeleza wajibu hatua kwa hatua na kuimarika kwa huduma za jamii.

"Rais Samia kiongozi mchapakazi asiye na majivuno. Kila uendapo utakutana na maendeleo ambayo hayakutegemewa yatokee haraka. Anazungumza polepole lakini vitendo ni vizito" Alisema Kinana.

Aidha, Makamu huyo Mwenyekiti alisema uongozi bora hupimaa kwa kutoa matokeo chanya ambayo kwa bahati nzuei kila sekta imepatiwa fedha za kufanikisha miradi ya maendeleo.

"Kila eneo limegushwa katika maendeleo. Sekta za Maji,Afya ,elimu zimspatiwa fedha kusukuma mbele kwa muktadha wa kupunguza kero na kumaliza changamoto sugu "Alisema Kinana

Hata hivyo kiongozi huyo aliwataka wanawake wengi zaidi kujitokeza katika kuwania nafasi za uongozi ili kukamilisha ndoto zao na kusema wanawake ni waaminifu na wasimamizi makini.

=== ===
 
Hakuna kitu chochote cha maana alichokifanya zaidi ya tozo, nyongeza fake ya mishahara na kusafiri.

Utawala huu ndio tunashuhudia ugumu wa maisha ambao haujawahi kushuhudiwa. Gharama ya maisha kupanda kwenye kila kitu.

Hii nchi haijapata rais bado.
 
View attachment 2309356
Chama Cha Mapinduzi kimesema licha ya Rais samia suluhu Hassan huzungumza polepole lakini vitendo vyake katika utekelezaji wa sera za maendeleo zimekuwa motomoto.

Pia, serikali yake kwa muda mfupi imeaminika na kuheshimika kikanda na kimataifa.

Matamshi hayo yametamkwa jana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana alipokuwa katika Manispaa ya jiji la Mbeya.

Kinana alisema Rais Samia amekuwa kiongozi wa mfano ambaye kwa kipindi kifupi cha mwaka mmoja amekubalika katika medani za kidiplomasia huku akiaminiwa na taasisi za kimataifa.

Akizungumzia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020-2025, alisema serikali yake imekuwa ikitekeleza wajibu hatua kwa hatua na kuimarika kwa huduma za jamii.

"Rais Samia kiongozi mchapakazi asiye na majivuno. Kila uendapo utakutana na maendeleo ambayo hayakutegemewa yatokee haraka. Anazungumza polepole lakini vitendo ni vizito" Alisema Kinana.

Aidha, Makamu huyo Mwenyekiti alisema uongozi bora hupimaa kwa kutoa matokeo chanya ambayo kwa bahati nzuei kila sekta imepatiwa fedha za kufanikisha miradi ya maendeleo.

"Kila eneo limegushwa katika maendeleo. Sekta za Maji,Afya ,elimu zimspatiwa fedha kusukuma mbele kwa muktadha wa kupunguza kero na kumaliza changamoto sugu "Alisema Kinana

Hata hivyo kiongozi huyo aliwataka wanawake wengi zaidi kujitokeza katika kuwania nafasi za uongozi ili kukamilisha ndoto zao na kusema wanawake ni waaminifu na wasimamizi makini.

=== ===
Sukuma gang na Chadomo wao wanasemaje?
 
Mazee yuko vizuli, tumeanza kuusahau Utawala wa Shetani.
Hatukani bali anaonyesha utofauti.Kinana sio mnafiki na yeye ni shahidi kote alikopita amezindua miradi na kuweka Mawe ya msingi na amejionea kiuhalisia kwamba SSH anafanya Kazi..

Tofauti ya Utawala wa Samia na Mwendazake ni kwamba Mwendazake alikuwa na majigambo meeengi wakati hela hana ,Samia hana hayo majigambo ila pesa ipo..

Maneno na vitendo 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220730-172556.png
    Screenshot_20220730-172556.png
    204.9 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220730-172328.png
    Screenshot_20220730-172328.png
    169.9 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220730-075149.png
    Screenshot_20220730-075149.png
    151.1 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220730-075101.png
    Screenshot_20220730-075101.png
    126.7 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220730-074637.png
    Screenshot_20220730-074637.png
    158.4 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220729-223655.png
    Screenshot_20220729-223655.png
    154.6 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220728-211038.png
    Screenshot_20220728-211038.png
    118.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220726-230353.png
    Screenshot_20220726-230353.png
    179.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220726-232227.png
    Screenshot_20220726-232227.png
    149.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220726-175414.png
    Screenshot_20220726-175414.png
    218.6 KB · Views: 5
Watazn wengi ni bora kuliko hao wachache wa 0.0002%
Mifumo iki paralyze ya kiutendaji utampeleka machinga akufanyie operation hapo muhimbili? Punguza dharau kwa watenda kazi ambao wanafanya shughuli zisisimame. Tukitoa wafanyakazi na wafanya biashara unadhani kundi gani lingine linatumika kuzungushia na kupitishia fedha ya serikali? Wangapi kati ya hao wanalipa kodi?
 
Paralysed 😀😀

Sukuma gang huwa mnaota mchana 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220729-092707.png
    Screenshot_20220729-092707.png
    185 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220729-092649.png
    Screenshot_20220729-092649.png
    91.8 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220729-214423.png
    Screenshot_20220729-214423.png
    121.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220729-223655.png
    Screenshot_20220729-223655.png
    154.6 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220730-074637.png
    Screenshot_20220730-074637.png
    158.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220730-075101.png
    Screenshot_20220730-075101.png
    126.7 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220730-075149.png
    Screenshot_20220730-075149.png
    151.1 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220730-113330.png
    Screenshot_20220730-113330.png
    105.5 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220730-172328.png
    Screenshot_20220730-172328.png
    169.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220730-172556.png
    Screenshot_20220730-172556.png
    204.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220730-173314.png
    Screenshot_20220730-173314.png
    109.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20220728-211038.png
    Screenshot_20220728-211038.png
    118.2 KB · Views: 6
View attachment 2309356
Chama Cha Mapinduzi kimesema licha ya Rais samia suluhu Hassan huzungumza polepole lakini vitendo vyake katika utekelezaji wa sera za maendeleo zimekuwa motomoto.

Pia, serikali yake kwa muda mfupi imeaminika na kuheshimika kikanda na kimataifa.

Matamshi hayo yametamkwa jana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana alipokuwa katika Manispaa ya jiji la Mbeya.

Kinana alisema Rais Samia amekuwa kiongozi wa mfano ambaye kwa kipindi kifupi cha mwaka mmoja amekubalika katika medani za kidiplomasia huku akiaminiwa na taasisi za kimataifa.

Akizungumzia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya mwaka 2020-2025, alisema serikali yake imekuwa ikitekeleza wajibu hatua kwa hatua na kuimarika kwa huduma za jamii.

"Rais Samia kiongozi mchapakazi asiye na majivuno. Kila uendapo utakutana na maendeleo ambayo hayakutegemewa yatokee haraka. Anazungumza polepole lakini vitendo ni vizito" Alisema Kinana.

Aidha, Makamu huyo Mwenyekiti alisema uongozi bora hupimaa kwa kutoa matokeo chanya ambayo kwa bahati nzuei kila sekta imepatiwa fedha za kufanikisha miradi ya maendeleo.

"Kila eneo limegushwa katika maendeleo. Sekta za Maji,Afya ,elimu zimspatiwa fedha kusukuma mbele kwa muktadha wa kupunguza kero na kumaliza changamoto sugu "Alisema Kinana

Hata hivyo kiongozi huyo aliwataka wanawake wengi zaidi kujitokeza katika kuwania nafasi za uongozi ili kukamilisha ndoto zao na kusema wanawake ni waaminifu na wasimamizi makini.

=== ===
Labda [emoji91][emoji91] wa [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Paralysed 😀😀

Sukuma gang huwa mnaota mchana 👇
Unaona ulivyo juha sasa unaweka miradi ya maendeleo iliyo kamilika na ambayo ipo mbioni kuanza halafu unawabeza watumishi kwakusema ni kakikundi kadogo? Unadhani samia huwa anakaguliwa afya yake na unao sema ni watanzania wengi wenye umuhimu kuliko wafanyakazi? Bila shaka hukaguliwa kaguliwa na hilo kundi dogo unalolibeza.

KANUSHO. SIJAWAHI KUWA SUKUMA GANG NA SITA WAHI KUJA KUWA. SIWEZI KUSHABIKIA UTAWALA ULIOKUWA KANDAMIZI HATA KIDOGO LICHA YA MAZURI UTAWALA HUO ULIYO YAFANYA.
 
Back
Top Bottom