KINANA: Urais wa Samia sio wa Kikatiba, amepatikana kwa Uchaguzi

Acha uongo wako hapa, Huoni namna mh Rais wetu anavyopokelewa kwa mafuriko ya wananchi huko mtaani, au wewe upo wapi, huoni Hadi viwanjani ambavyo watu wanaibua shangwe wakiiona picha ya mh Rais

Huoni wakulima wanavyoendelea kumshukuru mh Rais kwa namna anavyowajali na kugusa maisha yao ya kilimo kwa kupewa mbolea za Ruzuku zinazokwenda kuanza kutoka muda siyo mrefu

Wapi na eneo gani ambako utakwenda halafu usikute mikono ya mh Rais, Rais yupo kila eneo kuhakikisha mtanzania anahudumiwa vizuri
 
Huyu ndio wanamwita mwalimu wa siasa labda mwalimu wa propaganda
Ulitaka aingie Tena barabarani wakati tayari alikuwa amepita kuomba kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020, kwani alipofariki John F Kennedy Rais wa marekani Nani aliapishwa kuwa Rais, je huyo aliyeapishwa ulimuona akiingia barabarani kuomba kura tena
 
Wapiga dili wamerudi,mafuta Bei juu kwani wanapiga tu huku kwenye soko la dunia kwa muda wa miezi miwili bei ikipungua.
 
Ulitaka aingie Tena barabarani wakati tayari alikuwa amepita kuomba kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020, kwani alipofariki John F Kennedy Rais wa marekani Nani aliapishwa kuwa Rais, je huyo aliyeapishwa ulimuona akiingia barabarani kuomba kura tena
Ni katiba iliyomweka kwanza mpaka Sasa kafanya nini Cha maana zaidi ya mitozo anabaki kulalamika wapiga picha wanamhujumu
 
Nimemwelewa Kinana anamaanisha 2025 Mama Samia haruhusiwi kugombea maana tayari ameshatawala awamu mbili
Anamaanisha ndani ya chama mama yetu anapita bil kupingwa na atakuwa mgombea pekee ili kwenda kushindana na upinzani ambao hata hivyo kwa Sasa umepoteza muelekeo baada ya kazi nzuri na ya kutukuka inayofanywa na mh Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan, iliyo wanyima ajenda upinzani kwa sasa
 
Ni katiba iliyomweka kwanza mpaka Sasa kafanya nini Cha maana zaidi ya mitozo anabaki kulalamika wapiga picha wanamhujumu
Huoni namna alivyo boresha huduma za Afya,maji,umeme na Sasa mama ameweka nguvu kwenye kilimo kwa kuvunja rekodi ya kutoa Ruzuku na kupelekea Bei kushuka katika msimu ujao

Huoni namna uwekezaji unavyoongezeka hapa nchini kwa Sasa baada ya wawekezaji kuwa na Imani na serikali na uongozi wa mama yetu, Jambo litakaloongeza ajira kwetu vijana

Huoni mafuriko ya watalii kwa Sasa yaliyo tokana na kazi kubwa aliyoifanya mh Rais kuitangaza nchi yetu na vivutio tulivyo navyo kupitia Royal Tour

Huoni namna nchi ilivyoTulia kutokanaa na juhudi kubwa za mh Rais kujenga umoja na mshikamano wa kitaifa Hadi Sasa wapinzani wanahuburi juu ya amani mshikamano na umoja
 
Huu umeme unaokatika kila siku au unasikiliza sana TBC
 
Reactions: nao
1. Hebu tusaidie maelezo yako ya hiyo falsafa ku challenge hoja ya mzee Kinana.

2. Una data zipi za utafiti zinazoonyesha Mhe. Rais hapendwi?

3. Naomba tu uwe na utaratibu wa ku challenge hoja kwa utulivu bila maneno makali. 🙏🙏🙏
 
Misukule ya magufuli itakuwa ishaelewa mpaka hapo
 
Huna akili
 


Samia alitembea Nchi mzima kuomba kura akiwa mgombea mwenza wa Ibilisi

Huyu Mrundi kateuliwa tu na Wakojani.
Ktk list ya wagombea urais hakuwemo.

Hii itoshe kusema hakuandaliwa au kupata maelekezo jinsi ya kuwa Rais Bali kama Makamo.

Mzee anaposema aliandaliwa na kufunzwa kuwa Rais akiwa Makamo anataka kutufikirisha kuwa walijua Uncle atafariki.
 
Huyu Kinana anataka kuleta tu shida.
Samia ni wa katiba. Hata akifa Leo, Dr. Mpango atachukua nchi bila kupigiwa kura , ni kwa Mjibu wa katiba.

Atuache tuishi humohumo.
 
Huyu Kinana anataka kuleta tu shida.
Samia ni wa katiba. Hata akifa Leo, Dr. Mpango atachukua nchi bila kupigiwa kura , ni kwa Mjibu wa katiba.

Atuache tuishi humohumo.
Anazidi kutufikirisha MPANGO ametokana na uchaguzi upi?

Ni wa KATIBA baas. Kuna hoja imejificha behind against Sa100, wameanza kuchanga karata zao Ili wamuingize MTU wao dk ya 90.
 
Ni maoni yangu tunapoiboresha RASIMU ya Judge Warioba, Kuelekea kupata KATIBA mpya,

Ikitokea Rais amefariki turudi kwenye uchaguzi baas, Ili kuondoa hii taharuki.
 
Reactions: nao
Asee according to Tumia AKILI, yule wa kigoma hawezi kuwa FDR, sababu ni kuwa aliyepo hakutokana na uchaguzi . Kitabu hakitafunuliwa sababu hakikuelezea ikiwa...

Hivyo ni BUSARA itatumika. NANAKI anazidi kufungua codes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…