Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Tetesi: Kinara wa kukwamisha Rais Magufuli asiwe Mwenyekiti wa CCM ni Rajab Luhwavi, NKM CCM Bara

Status
Not open for further replies.
Mwaka huu lazima mlogane kudadeki ! Imeamriwa kura ni siri , na uhakika ni kwamba 80% ni kura za hapana , 10% ndiyo na 10% za maruhani !
Hakuna kupiga kura. Kinachofanyika pale ni Kikwete ana step down na Magufuli ana stand up
 
Asante Lizaboni kwa hii taarifa muhimu. Ila wajue kuwa CCM inahitaji kuendeshwa kulingana na wakati uliopo. Sasa kila mwananchi anahoji, na siasa za kufumbiana macho, kufichiana maovu zilishapitwa. Dr. Magufuli anafaa kabisa. Na pia ktk nadharia huwa tunasema kampuni kama inaelemewa na inataka kufa huwa haitafuti kiongozi toka ndani ya kampuni, bali huleta kiongozi toka nje ili aje arejeshe uhai. Na ndivyo ilivyokuwa kipindi cha uchaguzi, Dr. Magufuli na slogan yake ya "Serikali ya Dr. Magufuli...." na siyo serikali ya CCM, tofauti na enzi za Dr. JK, yeye ilikuwa "serikali ya CCM....."
Magufuli atakuwa Mwenyekiti wa CCM na serikali anayoiongoza ni ya CCM. Hizo zingine ni porojo tu. Huyo Naibu Katibu Mkuu amechelewa bado siku 10, JPM awe kiongozi mkuu wa wavaa za kijani
 
Magufuli atakuwa na matatizo ya usahaulifu na ni mroho wa madaraka abaki serikalini aachane na siasa mpaka 2020 si amesema hapa kazi tu analialia nini sana waacha wanaotaka kufanya siasa akina Luhavwi wabaki chamani
 
Nilijua tu watetezi wa Luhwavi mtaingia kichwa kichwa. Mmeshagundulika na mkakati wenu hautafanikiwa
 
Wacha wafu wazikane!
Huyo aliyetumwa ndo ameshakufa hivyo, chezea CCM wewe. Yuko wapi Lowassa aliyesema asiyemtaka ndani ya CCM ndo aondoke. Luhwavi kama hamtaki JPM aondoke haraka sana.
 
Magufuli atakuwa Mwenyekiti wa CCM na serikali anayoiongoza ni ya CCM. Hizo zingine ni porojo tu. Huyo Naibu Katibu Mkuu amechelewa bado siku 10, JPM awe kiongozi mkuu wa wavaa za kijani
Anafaa vipi sasayaani huyu anataka kufanya siasa inawezekana hajitambuwi anaporopoka ropoka si amesema hakuna siasa sasa uenyekiti wa nini kama sio kutaka kila kitu
 
Mkuu Lizaboni, miaka 5 iliyopita huyu Ruhwavi pia iliwahi kuamuriwa akamatwe na polisi na kufikishwa mbele ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi kwa kukiuka kifungu namba 13 ya kutowasilisha fomu ya maelezo ya mali au madeni.

Sababu ya kuamuru kukamatwa kwake ni kitendo chake cha kusepa na asijulikane akipo.
 
Anafaa vipi sasayaani huyu anataka kufanya siasa inawezekana hajitambuwi anaporopoka ropoka si amesema hakuna siasa sasa uenyekiti wa nini kama sio kutaka kila kitu
Ni kawaida ya chama chetu kukabidhiana madaraka ya kichama. Endeleeni kuvumilia maumivu. Lazima wachawi wite wafukuzwe chamani
 
Anafaa vipi sasayaani huyu anataka kufanya siasa inawezekana hajitambuwi anaporopoka ropoka si amesema hakuna siasa sasa uenyekiti wa nini kama sio kutaka kila kitu
Mbona mnaochonga sana ni UKAWA, kuna nini? Nasema bado siku 10 awe, pasukeni.
 
Mkuu Lizaboni, miaka 5 iliyopita huyu Ruhwavi pia aliwahi kukudwa shati na polisi na kufikishwa mbele ya Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi kwa kukiuka kifungu namba 13 ya kutowasilisha fomu ya maelezo ya mali au madeni.

Sababu ya kuamuru kukamatwa kwake ni kitendo chake cha kusepa na asijulikane akipo.
Basi aliyenunua MV Dar angekuwa jela sasa watu waina hiyo si ndio waliojaa CCM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom