Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Wewe ni Mwingereza?Asilimia kubwa ya Waingereza wameuchoka huo mfumo wa Monarchy wanataka full republican form of government
[emoji1] hayo ni yako tuAsilimia kubwa ya Waingereza wameuchoka huo mfumo wa Monarchy wanataka full republican form of government
Msalimie bro Chale![emoji1] hayo ni yako tu
Niko nao hapo, wanaona sawa tu na mambo yanaenda
Walimpenda Malkia zaidi ila hawezi kuishi milele
Ufalme upo sana na mimi pia sina shida nao
Leo ulinzi tu kuna police 29,000 wanalinda kila sehemu
Hawa wa nchi gani[emoji1] hayo ni yako tu
Niko nao hapo, wanaona sawa tu na mambo yanaenda
Walimpenda Malkia zaidi ila hawezi kuishi milele
Ufalme upo sana na mimi pia sina shida nao
Leo ulinzi tu kuna police 29,000 wanalinda kila sehemu
Mimi siongei tu ila reseaech ilifanywa[emoji1] hayo ni yako tu
Niko nao hapo, wanaona sawa tu na mambo yanaenda
Walimpenda Malkia zaidi ila hawezi kuishi milele
Ufalme upo sana na mimi pia sina shida nao
Leo ulinzi tu kuna police 29,000 wanalinda kila sehemu
Wewe uou ur day dreaming hao ni waamiaji wasio utaji, mgereza original iko proud na ufarume wao.Asilimia kubwa ya Waingereza wameuchoka huo mfumo wa Monarchy wanataka full republican form of government
Sawa 😅Wewe uou ur day dreaming hao ni waamiaji wasio utaji, mgereza original iko proud na ufarume wao.
Bila Royal assent hakuna kinachopitaMimi siongei tu ila reseaech ilifanywa
Kweli kabisa mkuu tena wanawapenda haswa na leo wamejitokeza na walijiandaa haswaWewe uou ur day dreaming hao ni waamiaji wasio utaji, mgereza original iko proud na ufarume wao.
Maelezo Hapo Ndiyo Kafara La Mfalme Linafanyika
Anasema mmakondeAsilimia kubwa ya Waingereza wameuchoka huo mfumo wa Monarchy wanataka full republican form of government
Hapo zindiko linafanyikaMaelezo Hapo Ndiyo Kafara La Mfalme Linafanyika
Kama walikuwepo wamewekwa mbali sana.
Nimefurahi kuona waimbisha kwaya na bendi ya taifa. Waimbishaji ni watu wazima sana.
Nimemuona prince Harry kakaa hukoo, naona wanambagua mno.
Huyu dogo Harry kakaa kidogo mzee kaapishwa tu huyo kasepa tena peke yakeMsalimie bro Chale!