King Charles Coronatiin leo, viongozi wa Afrika hawaendi kupandishwa Coaster?

King Charles Coronatiin leo, viongozi wa Afrika hawaendi kupandishwa Coaster?

Kwenye mazoezi yao juzi niliona bendera za mataifa ya Afrika ikiwemo na Tanzania
 
Asilimia kubwa ya Waingereza wameuchoka huo mfumo wa Monarchy wanataka full republican form of government
[emoji1] hayo ni yako tu
Niko nao hapo, wanaona sawa tu na mambo yanaenda

Walimpenda Malkia zaidi ila hawezi kuishi milele
Ufalme upo sana na mimi pia sina shida nao
Leo ulinzi tu kuna police 29,000 wanalinda kila sehemu
 
Hawa wa nchi gani
Screenshot_20230505-181516.png
 
Mimi siongei tu ila reseaech ilifanywa
Bila Royal assent hakuna kinachopita
Kama mabunge yataamua sheria ni mfalme ndio wa mwisho kusaini

Royal family bado wanakubalika na wana generate hela nyingi sana hapa

Kweli pia asilimia kubwa hawataki lakini wanaotaka ni wengi
Kuna sheria ina miaka zaidi ya 160 ya kuwa atakaejaribu kuvunja au kupinga ufalme ni jela maisha

Walisema hiyo sheria haipo tena ila mwaka 2013 aliulizwa jaji mkuu akasema hiyo sheria bado ipo na inafanya kazi
 
Wewe uou ur day dreaming hao ni waamiaji wasio utaji, mgereza original iko proud na ufarume wao.
Kweli kabisa mkuu tena wanawapenda haswa na leo wamejitokeza na walijiandaa haswa
Wako proud kuwa na Royal family

Hata mimi sina shida nao
Charities zao zinaingiza mabilioni ya £ hapa
 
Kama walikuwepo wamewekwa mbali sana.

Nimefurahi kuona waimbisha kwaya na bendi ya taifa. Waimbishaji ni watu wazima sana.

Nimemuona prince Harry kakaa hukoo, naona wanambagua mno.
 
Kama walikuwepo wamewekwa mbali sana.

Nimefurahi kuona waimbisha kwaya na bendi ya taifa. Waimbishaji ni watu wazima sana.

Nimemuona prince Harry kakaa hukoo, naona wanambagua mno.

Je kama yeye Harry ndiyo aliamua kukaa hukoo? Wangekuwa wanambagua wasingempa hata mwaliko wa kuja kushuhudia Baba yake akiapishwa.Haya ni maoni yangu
 
Back
Top Bottom