cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu nayeye anataka awe na wowowo km hiloo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu nayeye anataka awe na wowowo km hiloo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ukimuwekea dhamana anakufungisha.
Bongo kwa sasa ushoga ndo kila kitu, [emoji23][emoji23][emoji23]Haya mazoezi yamepokelewa negative nchini wanayaita mazoezi ya mashoga
Kama hua hupumui nyuma wakati wa mishemishe we si kiumbe mwenye damu inayotembea... yupo ktk mazoezi sioni tatizo na kulowa makalioKing of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
Yes! King of AnalKing?
Nafikiri ameshaondoka na hakupata watu wengi. Sijui kwanini watanzania hawajajitokeza wengiKing of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
We Jamaa wa Dubai maneno gani sasa hayoNimeona kama ana vi uchafu kwenye kinyeo 🤣 🤣 🤣 🤣
Huyu jamaa ni mganga njaa kama tulivyo wengine,nina mashaka sana hata hiyo skin tight anayotumia ni zile zinazoongeza hips na makalio na sio muonekano wake halisi,wanaume hatukuumbwa hivyo hata ungefanya squat za namna gani,pia lengo lake kuu hasa ni kuwasaidia wadada kuongeza makalio kwa kutumia mazoezi kwahiyo anapiga hela za kutosha maana kwa dunia ya sasa hiyo ni fashion...King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
Huyu sijui ni mwanaume wa aina gani siti yote hiyo eti mazoezi 🤔
Katika hali ya kawaida alitakiwa kuwafikia watu wa daslam hayo ndio yao, sasa huko kwa wadudu sijui imekuaje......aaahh au kajua mkuu wa mkoa nae ni king of skwat???😹🤣wachuga hawataki kukubaliana na yaliyowafika, mwana kapachagua chuga sijui kavutiwa na nini huko
Sio negative tu huu ni usenge mwanaume mzima unakuwaje na muonekano kama huo?huyu bwana lazima ni gay sema ni baunsa maku huyuHaya mazoezi yamepokelewa negative nchini wanayaita mazoezi ya mashoga