King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako

Dah hawa ndo wanafanya MANGUNGU Aonekane mbaya daily😢😢😢
 
King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
Kama hua hupumui nyuma wakati wa mishemishe we si kiumbe mwenye damu inayotembea... yupo ktk mazoezi sioni tatizo na kulowa makalio

Hii pia ni common kwa wanawake wenye inyee, labda kama saiz yako ni vimbaumbau
 
Nafikiri ameshaondoka na hakupata watu wengi. Sijui kwanini watanzania hawajajitokeza wengi
Wanaume waliona wakae mbali wasijekujikuta wamemsimamishia mwanaume mwenzao
 
King of Squats akiwa Arusha kwa maandalizi ya mazoezi, tazama Video hii kwa umakini kisha rusha maoni yako
Huyu jamaa ni mganga njaa kama tulivyo wengine,nina mashaka sana hata hiyo skin tight anayotumia ni zile zinazoongeza hips na makalio na sio muonekano wake halisi,wanaume hatukuumbwa hivyo hata ungefanya squat za namna gani,pia lengo lake kuu hasa ni kuwasaidia wadada kuongeza makalio kwa kutumia mazoezi kwahiyo anapiga hela za kutosha maana kwa dunia ya sasa hiyo ni fashion...
 
Back
Top Bottom