Kutoa maoni si uchochezi. Wanaoohongwa kofia ,chimvi na Khanga. Tatizo ni ELIMU na kutofahamu haki zao.nakuelewa sana mkuu lkn tunaanzaje ikiwa bado mpaka leo watu wanapigia kura wagombea kwa kuhongwa elfu 7 au tshirt na kofia na miongoni mwetu wale mungu aliewapa upeo wa kujua mambo wanaokosoa wanaitwa wachochezi na sisi miongoni mwetu tunakubali yawafike ya kuwafika tukiaminishwa ni wachochez kweli sioni mwanga wwte huko mbeleni ni kiza tu kimetawala
Hilo si jambo la kulinyamazia katika kutenda haki. Mahakama haihitajiki KUINGILIWA maana ni mhimili unaojitegemea.Siku ya kupewa dhamana ikiwadia, hakimu anaingia mitini......!!!!! Amri kutoka mbinguni.!
Mkuu "Nitaesema kweli daima uongo kwa ngu mwiko."Yes, nimekupata ila si kivile kwani bado kuna utata.
EtiMleta mada tunakufuatilia tukupeleke uhamiaji tuna mashaka na uraia wako. Sisi watanzania tunajijua ni wapole,waoga na wanyonge na huwa hatuna makuu.
Una ka pointi. serikali ishughulikie mambo ya maana si haya mado madogo yasiyo na tija.Sasa serikali na vyombo vya ku-deal na ufisadi viko wapi na ndio maana tunasema hii serikali haifai ilituahidi itashughulikia hayo, sasa wapi. Iko tu busy kununua wapinzani na kuwajeruhi wengine wao. Bogus kabisa.
Miaka 400 iliyopita Babu wa BABU yangu na Babu wa BABU yangu NA BABU wa BABU yangu waalitokea "NIGER- CAMEROON" "Afrika Magharibi"Mleta mada tunakufuatilia tukupeleke uhamiaji tuna mashaka na uraia wako. Sisi watanzania tunajijua ni wapole,waoga na wanyonge na huwa hatuna makuu.
Bila hiyo tusijidanganye kumaliza UFISADI. Ni lazima watu na watoto wao WAWAJIBISHWE,Na hayo ndio maombi yangu na matamanio yangu kwamba viongozi wote wa kisiasa wawajibike iwe wawapo madarakani au baada ya kuondoka madarakani. Kusewepo na kinga dhidi ya mashtaka, hilo limekuwa kichaka cha wahalifu na mafisadi hasa kwenye ngazi za Urais na Uwaziri Mkuu.
Wote wafikishwe kwenye Mahakama za kisheria na waadhibiwe kulingana na makosa waliyotenda. Natamani kwa Tanzania ianze hata leo.
JPM atakuja kushtakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka, amemteua mtu aliyegushi elimu kuwa mkuu wa mkoa.
Hatuwezi kusema kuwa UPOTEVU huo UNAMHUSU yeye kama rais Magufuli.Kutokana na report ya CAG , inayoonesha 1.5 trion kupotea pasipo kuonekana, magufuli ajiandae baada ya kusitaafu hata kama ni miaka 20 baadae, gereza linhamuhusu
Love prevails over hatred!wacha uume i really hate the dude...........................
Hilo haliko mbali tuombe tu uzima kuna makaburi lazima yatafukuliwa huko mbele, matumizi mabaya ya madaraka,matumizi mabaya ya fedha za umma,upotevu wa watu bila kuchukua hatua,watu wasiojulikana,matumizi ya jina lisilo lako kujipatia stahiki za umma,ufisadi,nk,ndo zitakuwa kesi kuu awamu ijayo hivo wahusika wajianandae,sawa na mfugo unenepeswayo ili uchinjwe mbeleni,hakuna kinga dhidi ya masuala binafsi,tutayashuhudia kama ya kina Chiluba,siku hazigandi.Bila hiyo tusijidanganye kumaliza UFISADI. Ni lazima watu na watoto wao WAWAJIBISHWE,
Sasa hivi binti wa mtoto wa Rais aliyestaafu wa Angola Isabela .
Faili lake liko mbele ya kuu wa Mashitaka wa serikali DPP kwa TUHUMA za kujipatia MALI kwa njia ya KIFISADI.
Uchinguzi huu bado unaendelea bila kujali kuwa yeye alikuwa ni MTOTO wa NANI.
Anachunguzwa kwa kujinufaisha wakati baba yake akiwa Madarakani.
Hiyo ndo Tanzania inahitaji, Hilo wimbi litafika tu siku moja na si mabali sana.
Kwa masuala ya binafsi HAMNA kinga.Hilo ni sawa kabisa,Hilo haliko mbali tuombe tu uzima kuna makaburi lazima yatafukuliwa huko mbele, matumizi mabaya ya madaraka,matumizi mabaya ya fedha za umma,upotevu wa watu bila kuchukua hatua,watu wasiojulikana,matumizi ya jina lisilo lako kujipatia stahiki za umma,ufisadi,nk,ndo zitakuwa kesi kuu awamu ijayo hivo wahusika wajianandae,sawa na mfugo unenepeswayo ili uchinjwe mbeleni,hakuna kinga dhidi ya masuala binafsi,tutayashuhudia kama ya kina Chiluba,siku hazigandi.
Katika kila jambo SHERIA ni laZIMA kuzingatiwa.Hili ni muhimu umma wa nchi hii tuanze vuguvugu la kudai mabadiliko ya haya. Hata kutumia fedha za umma kwa maamuzi binafsi bila bunge kupitisha haya sio ya kuyaacha.
Lile la vuguvugu inategemea ni vuguvugu la aina gani. Vuguvugu la kuleta MABADILIKO kwa njia ya AMANI ni sawa kabisa.Hili ni muhimu umma wa nchi hii tuanze vuguvugu la kudai mabadiliko ya haya. Hata kutumia fedha za umma kwa maamuzi binafsi bila bunge kupitisha haya sio ya kuyaacha.
Kuna watu awamu ijayo watakuwa wadogo kama pilitoni japo wana nguvu balaa kwa sasa,sisi tunawachora tu uzuri technology utunza historia ya yote uliyoyatenda,uliyoyasema,nk.Tumikia watu vyema ustaafu kwa heshima uishi vyema kwenye jamii yako,sio unafika uzee mda wa kupumzika we ndo wa kushinda mahabusu au kuwekwa kwenye cage kama sokwe ukipelekwa mahakamani mfano Hussein Mubarak wa misri.Kwa masuala ya binafsi HAMNA kinga.Hilo ni sawa kabisa,
Maamuzi yote binafsi ikiwemo matumizi ya mabaya ya Madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma Bila kupitishwa bungeni,hayana kinga ya kutokustakiwa baada ya utumishi,ndo maana ya kuapa kuwa utailinda na kuitunza katiba,ukienda kinyume utashtakiwa nayo baada ya mda wako kuisha.Kwa masuala ya binafsi HAMNA kinga.Hilo ni sawa kabisa,
Katika ulimwengu wa sasa.Kuna watu awamu ijayo watakuwa wadogo kama pilitoni japo wana nguvu balaa kwa sasa,sisi tunawachora tu uzuri technology utunza historia ya yote uliyoyatenda,uliyoyasema,nk.Tumikia watu vyema ustaafu kwa heshima uishi vyema kwenye jamii yako,sio unafika uzee mda wa kupumzika we ndo wa kushinda mahabusu au kuwekwa kwenye cage kama sokwe ukipelekwa mahakamani mfano Hussein Mubarak wa misri.
UTATA upi mkuu?Yes, nimekupata ila si kivile kwani bado kuna utata.