Kutoa maoni si uchochezi. Wanaoohongwa kofia ,chimvi na Khanga. Tatizo ni ELIMU na kutofahamu haki zao.nakuelewa sana mkuu lkn tunaanzaje ikiwa bado mpaka leo watu wanapigia kura wagombea kwa kuhongwa elfu 7 au tshirt na kofia na miongoni mwetu wale mungu aliewapa upeo wa kujua mambo wanaokosoa wanaitwa wachochezi na sisi miongoni mwetu tunakubali yawafike ya kuwafika tukiaminishwa ni wachochez kweli sioni mwanga wwte huko mbeleni ni kiza tu kimetawala
Mtu akitoa rushwa hatakikani kuwa kiongozi wa kiti chochote .