Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

nakuelewa sana mkuu lkn tunaanzaje ikiwa bado mpaka leo watu wanapigia kura wagombea kwa kuhongwa elfu 7 au tshirt na kofia na miongoni mwetu wale mungu aliewapa upeo wa kujua mambo wanaokosoa wanaitwa wachochezi na sisi miongoni mwetu tunakubali yawafike ya kuwafika tukiaminishwa ni wachochez kweli sioni mwanga wwte huko mbeleni ni kiza tu kimetawala
Kutoa maoni si uchochezi. Wanaoohongwa kofia ,chimvi na Khanga. Tatizo ni ELIMU na kutofahamu haki zao.
Mtu akitoa rushwa hatakikani kuwa kiongozi wa kiti chochote .
 
Siku ya kupewa dhamana ikiwadia, hakimu anaingia mitini......!!!!! Amri kutoka mbinguni.!
Hilo si jambo la kulinyamazia katika kutenda haki. Mahakama haihitajiki KUINGILIWA maana ni mhimili unaojitegemea.

Na ikitokeea kuwa Mahakama inapokea maagizo toka kwa mtu yeyote ku influence uamuzi fulani, basi Jaji ama Hakimu ama whatever anastahili KUSHITAKIWA na kuwa shamed in PUBLIC!!!!

Tunahitaji kuwa na nchi yenye demokrasia ya kweli na si MAIGIZO ya kidemokrasia
 
Mleta mada tunakufuatilia tukupeleke uhamiaji tuna mashaka na uraia wako. Sisi watanzania tunajijua ni wapole,waoga na wanyonge na huwa hatuna makuu.
Eti
"Ninyi Watanzania ni WAPOLE, WAOGA, na WANYONGE, na huwa hamna makuu"
Mimi kama Mtanzania mbona sina NASABA ya hivo vitu ulinyovitaja?

Mimi si MWOGA wala MNYONGE waoga ni wale WACHACHE wasiojua haki zao pengine watu kama wewe yaani ukimwona Polisi unamkimbia hata kama anaenda dukani kununua sukari.

Kwa kifupi Watanzania si WAOGA.

Ndo maana waliweza kumwondoa Dikteta Idd Amini wa Uganda, na hata kumwondoa MRENO, Msumbiji.
Hao ndo Watanzania WASIO WAOGA na ndo tabia yao.

ISITOSHE Watanzania WAKAUKATAA UJAMAA siasa ya hovyo iliyowafanya wengi kuwa Maskini.
Ndo leo wewe wala matunda ya WTZ WAJASIRI.

Kwa hiyo picha naona URAIA wangu ni haki yangu hapa kijijini kwangu.
Acha nikimbie shambani naona mawingu yametanda Mvua ikaribu kunyesha!!!
 
Sasa serikali na vyombo vya ku-deal na ufisadi viko wapi na ndio maana tunasema hii serikali haifai ilituahidi itashughulikia hayo, sasa wapi. Iko tu busy kununua wapinzani na kuwajeruhi wengine wao. Bogus kabisa.
Una ka pointi. serikali ishughulikie mambo ya maana si haya mado madogo yasiyo na tija.
Hiyo hela ifanye maendeleo na si viginevyo. Nakuelewa.
 
Na hayo ndio maombi yangu na matamanio yangu kwamba viongozi wote wa kisiasa wawajibike iwe wawapo madarakani au baada ya kuondoka madarakani. Kusewepo na kinga dhidi ya mashtaka, hilo limekuwa kichaka cha wahalifu na mafisadi hasa kwenye ngazi za Urais na Uwaziri Mkuu.

Wote wafikishwe kwenye Mahakama za kisheria na waadhibiwe kulingana na makosa waliyotenda. Natamani kwa Tanzania ianze hata leo.
 
Mleta mada tunakufuatilia tukupeleke uhamiaji tuna mashaka na uraia wako. Sisi watanzania tunajijua ni wapole,waoga na wanyonge na huwa hatuna makuu.
Miaka 400 iliyopita Babu wa BABU yangu na Babu wa BABU yangu NA BABU wa BABU yangu waalitokea "NIGER- CAMEROON" "Afrika Magharibi"

Babu mzaa baba akazaliwa Tanzania kutoka katika group la watu wanaojulikana kama WABANTU hasa wa mkoa {fulani}........!!!!!

Na Kabila moja huko Niger- Cameroon maneno mengi TUNAINGILIANA wanapozungumza.
Hata namna ya nyumba za vijijini tunafananana na kabisa kabisa.

UKININYIMA URAIA nitaenda WAPI?
Hapa ndo nyumbani. Na SITOKI NG'O!!!!
 
Na hayo ndio maombi yangu na matamanio yangu kwamba viongozi wote wa kisiasa wawajibike iwe wawapo madarakani au baada ya kuondoka madarakani. Kusewepo na kinga dhidi ya mashtaka, hilo limekuwa kichaka cha wahalifu na mafisadi hasa kwenye ngazi za Urais na Uwaziri Mkuu.

Wote wafikishwe kwenye Mahakama za kisheria na waadhibiwe kulingana na makosa waliyotenda. Natamani kwa Tanzania ianze hata leo.
Bila hiyo tusijidanganye kumaliza UFISADI. Ni lazima watu na watoto wao WAWAJIBISHWE,
Sasa hivi binti wa mtoto wa Rais aliyestaafu wa Angola Isabela .

Faili lake liko mbele ya kuu wa Mashitaka wa serikali DPP kwa TUHUMA za kujipatia MALI kwa njia ya KIFISADI.

Uchinguzi huu bado unaendelea bila kujali kuwa yeye alikuwa ni MTOTO wa NANI.
Anachunguzwa kwa kujinufaisha wakati baba yake akiwa Madarakani.
Hiyo ndo Tanzania inahitaji, Hilo wimbi litafika tu siku moja na si mabali sana.
 
JPM atakuja kushtakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka, amemteua mtu aliyegushi elimu kuwa mkuu wa mkoa.

Kutokana na report ya CAG , inayoonesha 1.5 trion kupotea pasipo kuonekana, magufuli ajiandae baada ya kusitaafu hata kama ni miaka 20 baadae, gereza linhamuhusu
 
Kutokana na report ya CAG , inayoonesha 1.5 trion kupotea pasipo kuonekana, magufuli ajiandae baada ya kusitaafu hata kama ni miaka 20 baadae, gereza linhamuhusu
Hatuwezi kusema kuwa UPOTEVU huo UNAMHUSU yeye kama rais Magufuli.

Bali Wale WALIOZICHOTA hizo hela WANAJIJUA. Hatuwezi kupakizia kwamba yeye ndo KAIBA.

Hapo tutakuwa tume jump the gun/TUMERUKIA mambo bila sababu za kimsingi.
Haypo no maoni yangu .Naweza KUREKEBISHWA.
 
Bila hiyo tusijidanganye kumaliza UFISADI. Ni lazima watu na watoto wao WAWAJIBISHWE,
Sasa hivi binti wa mtoto wa Rais aliyestaafu wa Angola Isabela .

Faili lake liko mbele ya kuu wa Mashitaka wa serikali DPP kwa TUHUMA za kujipatia MALI kwa njia ya KIFISADI.

Uchinguzi huu bado unaendelea bila kujali kuwa yeye alikuwa ni MTOTO wa NANI.
Anachunguzwa kwa kujinufaisha wakati baba yake akiwa Madarakani.
Hiyo ndo Tanzania inahitaji, Hilo wimbi litafika tu siku moja na si mabali sana.
Hilo haliko mbali tuombe tu uzima kuna makaburi lazima yatafukuliwa huko mbele, matumizi mabaya ya madaraka,matumizi mabaya ya fedha za umma,upotevu wa watu bila kuchukua hatua,watu wasiojulikana,matumizi ya jina lisilo lako kujipatia stahiki za umma,ufisadi,nk,ndo zitakuwa kesi kuu awamu ijayo hivo wahusika wajianandae,sawa na mfugo unenepeswayo ili uchinjwe mbeleni,hakuna kinga dhidi ya masuala binafsi,tutayashuhudia kama ya kina Chiluba,siku hazigandi.
 
Hili ni muhimu umma wa nchi hii tuanze vuguvugu la kudai mabadiliko ya haya. Hata kutumia fedha za umma kwa maamuzi binafsi bila bunge kupitisha haya sio ya kuyaacha.
 
Kwa masuala ya binafsi HAMNA kinga.Hilo ni sawa kabisa,
 
Hili ni muhimu umma wa nchi hii tuanze vuguvugu la kudai mabadiliko ya haya. Hata kutumia fedha za umma kwa maamuzi binafsi bila bunge kupitisha haya sio ya kuyaacha.
Katika kila jambo SHERIA ni laZIMA kuzingatiwa.
Nchi hii si ya CCM wala CHADEMA ,
Wanasiasa wasifikiri nichi ni YAO.
Haki lazima ifuatwe bila kukkiuka katiba.
 
Hili ni muhimu umma wa nchi hii tuanze vuguvugu la kudai mabadiliko ya haya. Hata kutumia fedha za umma kwa maamuzi binafsi bila bunge kupitisha haya sio ya kuyaacha.
Lile la vuguvugu inategemea ni vuguvugu la aina gani. Vuguvugu la kuleta MABADILIKO kwa njia ya AMANI ni sawa kabisa.

Lakini VUGUVUGU/MOVEMENT iliyojificha chini ya UHALIFU na FUJO hilo si zuri.
Maana hutela madhara makubwa sana in terms of maisha ya watu.
Hayo ni mawazo yangu.

Wananchi wana haki yao kudai haki kama kunna maonevu kwa njia ya amani.
 
Kwa masuala ya binafsi HAMNA kinga.Hilo ni sawa kabisa,
Kuna watu awamu ijayo watakuwa wadogo kama pilitoni japo wana nguvu balaa kwa sasa,sisi tunawachora tu uzuri technology utunza historia ya yote uliyoyatenda,uliyoyasema,nk.Tumikia watu vyema ustaafu kwa heshima uishi vyema kwenye jamii yako,sio unafika uzee mda wa kupumzika we ndo wa kushinda mahabusu au kuwekwa kwenye cage kama sokwe ukipelekwa mahakamani mfano Hussein Mubarak wa misri.
 
Kwa masuala ya binafsi HAMNA kinga.Hilo ni sawa kabisa,
Maamuzi yote binafsi ikiwemo matumizi ya mabaya ya Madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma Bila kupitishwa bungeni,hayana kinga ya kutokustakiwa baada ya utumishi,ndo maana ya kuapa kuwa utailinda na kuitunza katiba,ukienda kinyume utashtakiwa nayo baada ya mda wako kuisha.
 
Kuna watu awamu ijayo watakuwa wadogo kama pilitoni japo wana nguvu balaa kwa sasa,sisi tunawachora tu uzuri technology utunza historia ya yote uliyoyatenda,uliyoyasema,nk.Tumikia watu vyema ustaafu kwa heshima uishi vyema kwenye jamii yako,sio unafika uzee mda wa kupumzika we ndo wa kushinda mahabusu au kuwekwa kwenye cage kama sokwe ukipelekwa mahakamani mfano Hussein Mubarak wa misri.
Katika ulimwengu wa sasa.
Kila TAMKO.kila KITENDO na kila USHAHIDI unawekwa officially na unofficially. Na mtu tu mwingine usiyemtegemea. AMEHIFADHI kila kitu na kila kumbukumbu.
Teknolojia si ya kucheza nayo siku hizi mkuu.
 
Back
Top Bottom