MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,701
- 71,056
Waacheni wajadili mwisho mwisho maana mzee wa majipu ameanza kudhibiti mijadala
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli!Rangi ya mtu mweusi inaakasi ubongo wake!
Duh!Rangi ya mtu mweusi inaakasi ubongo wake!
Umekosea mlango wa kuingiliaWanasheria naomba kuuliza: Hivi rais akiwa madarakani akafanya kosa ambalo linathibitisha kuwa alikuwa na mens rea sheria inasemaje. Mfano: Unaingia madarakani nyuma tulikuwa na ugomvi, unasema piga risasi huyo maadamu hakuna atakaye kuuliza, Je bado kinga itatumika kumlinda akitoka madarakani. AU rais anaiba hela anapeleka ulaya kwa kumwamrisha gavana, je sheria itamlinda?
Lakini mbona kama swali linahusisha wanasiasa?Umekosea mlango wa kuingilia
Hapa ni siasa tu!
Peleka sehemu ya msaada wa sheria humuhumu JF.
Never, mada hii ni siasa. Rais anafanya siasa, kazi yake ni siasa, hapa ndipo mahali pakeUmekosea mlango wa kuingilia
Hapa ni siasa tu!
Peleka sehemu ya msaada wa sheria humuhumu JF.
Umeomba msaada wa kisheriaNever, mada hii ni siasa. Rais anafanya siasa, kazi yake ni siasa, hapa ndipo mahali pake
Ndio maana tunapendekeza katiba mpya ipitishwe ili hata wazito waweze kuwajibishwa, walijitungia sheria kulinda maslai yao hivyo mabadiliko ya katiba yataendana na mabadiliko ya baadhi ya vifungu vya sheria
Mara nyingi wanasheria huwa sio wanasiasa
Kama umeipitia rasimu ya katiba pendekezwa sura ya Nane sehemu ya kwanza kipengele b (Rais) kifungu cha 94(1) Bunge linaweza kupitisha azimio la kumuondoa Rais madarakani endapo itatolewa hoja ya kumshtaki Rais na ikapitishwa kwa mujibu wa masharti ya Ibara hii. Isome hiyo attached file ni rasimu_ya_katiba_inayopendekezwa_na_bunge_maalumHata rasimu ya Warioba ile original ilikuwa bado ina mkinga rais asishitakiwe na sikumbuki kama kuna mjumbe yeyote hata wa UKAWA aliyezungumzia hili wote walikuwa busy na idadi ya serikali za muungano.
Asante mkuu kwa kuwa wewe unaakili nyingiWanasheria wa nchi gani?
Are you serious?
Kuna haja ya TCRA kuzima na akili feki sababu mtu mwenye ubongo feki hata akitumia simu original bado ni tatizo.