Kama ipo ianze na kesi ya uuzaji nyumba za Serikali na iwabane wale waliojiuzia nyumba zaidi ya moja , kumbuka wengine walijuzia nyumba kibao wakazigawa mpaka Kwa ma-small house wao.Mahakama ya mafisadi ni demagogue nashangaa wanaoitilia maanani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ipo ianze na kesi ya uuzaji nyumba za Serikali na iwabane wale waliojiuzia nyumba zaidi ya moja , kumbuka wengine walijuzia nyumba kibao wakazigawa mpaka Kwa ma-small house wao.Mahakama ya mafisadi ni demagogue nashangaa wanaoitilia maanani.
Richmond ni ya Kikwete .kama ana kashfa nzito kwa nini sasa hawampeleki mahakamani? ina maana hizi mahakama tulizonazo haziwezi kusikiliza tuhuma zake mpaka iunde mahakama maalum ya mafisadi? na hao majaji watakuwa ndio hao hao wa mahakama za sasa au na wao wataagizwa toka nje ya nchi ili kuleta utofauti?
Amejihami mapema baada ya kuambiwa kuwa endapo atawaandama wataungana na kumhujumu na yeye pia kupitia wale Watumishi waliowapa madaraka Enzi zao.YEYE NI RAIS ALAFU AWANYANYASE WENZAKE MARAIS WALIOPITA NA WAKATI NA YEYE ANAJUA ATAPITA NA HUKU ANAELEWA UNACHOPANDA UTAVUNA. HATA MIE NINGEKUWA YEYE NINGEFANYA ANAVYOTAKA KUFANYA.
Mnafahamu sheria na katiba inasemaje? Hapo angewashtaki mngesema anavunja katiba na dikteta. Uwezo mdogo
na kwa hali hii katiba mpya tuisahau. tutapata katiba ileile ikiwa na cover jipya.Lengo kuu ni kuipata katiba mpya itakayojali usawa
huu ni mwaka wa 55 tokea uhuru sasa sijui subira ipi maana kama ni mtoto alizaliwa ameishafika umri ambao anaweza kustaafu. bado tuendelee kuvuta pumzi lol!!!!!!!!!!!!!!!!!!tuvute subira kidogo tuone
hahahaha hii ikienda mahakamani nitajua kweli inamaanisha maana waziri alikuwa nani vile?????????????Kama ipo ianze na kesi ya uuzaji nyumba za Serikali na iwabane wale waliojiuzia nyumba zaidi ya moja , kumbuka wengine walijuzia nyumba kibao wakazigawa mpaka Kwa ma-small house wao.
Badilisheni katiba ili muwafumge hao mnaotaka. Mbona kila siku mnalia jamaa hafuati katiba, leo mnataka asiifuate awapeleke wenzake mahakamani?
Mbona ubajenga imani kuwa kila kiongozi wa juu tz ni fisadi au pengine na wewe fisadi hivi unajua serikali inavyoendeshwa au ni joblessHivi mlivoambiwa CCM ni ile ile inamaana hamkuelewa?
Ndo hivo sasa.... mmeipenda wenyewe, chaguo lenu wenyewe.....
Kilichobaki ni kuisoma namba tu
Asa hapo ndo umeandika nini?Mbona ubajenga imani kuwa kila kiongozi wa juu tz ni fisadi au pengine na wewe fisadi hivi unajua serikali inavyoendeshwa au ni jobless
Mbona mahakama haijaanza mnatoa hitimisho. JPM anamlinda JK kutokana na katiba iliyoko ambayo ameapa kuilinda.
Chama cha Majipu kina utamaduni, sera na utaratibu wa kulindana. Mtakatifu ameeleza bayana tu kwa wale waliolishwa ahadi hewa ya kupambana na ufisadi na kutumbua majipu.Anamaanisha atawalinda kwenye maovu yao yote ya ufisadi walipokuwa madarakani. Kama utakumbuka Salma Kikwete na Ridhwan ni shareholders wa UDA ambayo imekwapuliwa kinyemela kutoka halmashauri ya jiji la Dar na Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali katika ripoti yake ya mwaka aliandika kuhusu ufisadi huu. Jamaa kaamua ile ripoti iendelee kupigwa na vumbi pale Ikulu ili kuendelea kuwakingia kifua wakwapuzi wa shirika la UDA, na huyu ndiye aliyejinadi kwamba kajitoa kafara ili kupambana na ufisadi nchini.
Wewe ni Kilaza #1,Cc Askofu Gwajima
kweli kabisa.madaraka ya kuona kama mtu ana kosa ama hana kosa ,ashitakiwe ama la. Si wajibu wa Rais. Na inapofika raisi anaujulisha umma kwamba atamlinda mtu anawapa ujumbe hao wa mahakama ambao wanateuliwa na raisi wanyamaze. Hapo ndipo swala la akiba ya maneno linakuja.Sasa kama nilajulikana kuna sababu gani ya Mtukufu Rais kulizungumzia kana kwamba yeye ndiye mwenye madaraka ya kuamua kuwashtaki au la? Ni nani mwenye akili zilizopo likizo kati ya UKAWA na Mtukufu?