Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

Kudharaulika kwa mahakama kunatokana na kinga ya rais,kinga ya rais kutokushitakiwa inachangia sana kudharaulika kwa mahakama
Nchini tanzania,sasa hivi mahakama imefanywa kama takataka,nitatoa mfano kudhibitisha tuhuma nilizozitoa kuhusu mahakama kufanywa tata.

Mfano (1)
Tanroard wamebomoa nyumba za wakazi wa kimara wakati kuna zuio la mahakama,hii ni zarauuuuu kubwa sana kwa mahakama zetu,chombo cha serekali kukataa kutii na kutekeleza amri halali ya mahakama nashindwa hata kuelezea,na kuamini kama kweli

Mfano (2)
Mh sumaye waziri mkuu mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mashamba yake yana zuio la mahakama,lkn amenyanganywa mashamba yake kukiwa kuna amri halali ya zuio la mahakama,hivi ni mifano gani watanzania wanataka kupewa ili wajue mahakama yetu imedharaulika
Rudia maamuzi ya rufaa ya kesi ya mbunge wa arusha mjini,majaji walisema serekali inanajisi sheria

Wako wapi kina jaji warioba,wako wapi majaji wetu wastaafu,jaji Ramadhani,jaji barnaba samata,jaji bomani,na majaji wengine wastaafu?
Liko wapi baraza la maaskofu,liko wapi jukwaa la wakristu tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusubiri Mungu atakapo tuletea Rais atakaye Himiza upatikanaji wa Katiba mpya
 
Kudharaulika kwa mahakama kunatokana na kinga ya rais,kinga ya rais kutokushitakiwa inachangia sana kudharaulika kwa mahakama
Nchini tanzania,sasa hivi mahakama imefanywa kama takataka,nitatoa mfano kudhibitisha tuhuma nilizozitoa kuhusu mahakama kufanywa takataka

Ongezea Rais wakati yupo Tanga ana angiza hakimu katika mahakama ya mwanzo abadilishiwe kituo, Je kuna kiongozi kwenye muhimili huo??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mahakama inajidharaurisha yenyewe ni very corrupt, wenye pesa tu ndo hushinda kesi, wanajionaga wao ndo alpha na omega iwe kwa wema au ubaya. wacha tutikise system zetu ndo tujenge system madhubuti. shake well before use.
 
Mkulu alishatamka bila ya kumumg'unya maneno,kuwa mihimili haiko sawa,kwa vile mhimili wake umejichimbia mizizi zaidi ya mihimili mingine.
Hapo unategemea nini?
 
Lendila,
Umesema vizuri sana . . , lakini mahakama yenyewe ni muhimu ikalinda heshima yake yenyewe . . Ni lazima Waheshimiwa majaji wapige kelele kukemea mihimili mingine kuacha kudharua mahakama . . Majaji waliopo kazini wawatumie majaji wastaafu , LHRC , na viongozi wa dini kukemea uvunjifu huu wa KATIBA . .

Tukiendelea hivi, Raisi kuwa ndio katiba , raisi kuwa ndio mahakama . . , basi tujue tumekubali kuingia ktk kundi la nchi zinazokwenda kushindwa kutawalika . .

Watanzania wakikosa imani na mahakama, basi watachoka, watakosa uvumilivu, watatafuta haki kwa namna nyingine . . , hawatamsubiri Mungu atende kama hawa watu wa Kimara wanavyosubiri . . , na mwisho NGUVU YA UMMA ndio itakayoshinda kwa gharama ya DAMU . . !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kudharaulika kwa mahakama kunatokana na kinga ya rais,kinga ya rais kutokushitakiwa inachangia sana kudharaulika kwa mahakama
Nchini tanzania,sasa hivi mahakama imefanywa kama takataka,nitatoa mfano kudhibitisha tuhuma nilizozitoa kuhusu mahakama kufanywa takataka

Mfano (1)
Tanroard wamebomoa nyumba za wakazi wa kimara wakati kuna zuio la mahakama,hii ni zarauuuuu kubwa sana kwa mahakama zetu,chombo cha serekali kukataa kutii na kutekeleza amri halali ya mahakama nashindwa hata kuelezea,na kuamini kama kweli

Mfano (2)
Mh sumaye waziri mkuu mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mashamba yake yana zuio la mahakama,lkn amenyanganywa mashamba yake kukiwa kuna amri halali ya zuio la mahakama,hivi ni mifano gani watanzania wanataka kupewa ili wajue mahakama yetu imedharaulika
Rudia maamuzi ya rufaa ya kesi ya mbunge wa arusha mjini,majaji walisema serekali inanajisi sheria

Wako wapi kina jaji warioba,wako wapi majaji wetu wastaafu,jaji Ramadhani,jaji barnaba samata,jaji bomani,na majaji wengine wastaafu?
Liko wapi baraza la maaskofu,liko wapi jukwaa la wakristu tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app
Baraza la Maaskofu na Jukwaa la kikristo wako busy kumuombea ili aendelee kuwa alivyo.
Badala ya kumuomba Mungu amoe hekima ya kuwa kiongozi na sio mtawala. Ina ukakasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu lendila Salute..
Umesema kweli tupu.
Kwenye hili la Mahakama kuna shida kubwa sana kama Nchi kwa sasa..
Mahakama sio HURU tena kwenye utawala huu.
Yaani Rais anasimama mbele ya vyombo vya habari anasema nataka watu wafungwe. Halafu wakisha fungwa awakishe bure roho yake iwe huru.
Hivi Yesu Kristo angekataa kutukomboa kwa damu yake wote tunao amini katika hii imani si tungekuwa mashetani sisi wote? Ila jamaa yeye anasema aombewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lendila,
Umesema vizuri sana . . , lakini mahakama yenyewe ni muhimu ikalinda heshima yake yenyewe . . Ni lazima Waheshimiwa majaji wapige kelele kukemea mihimili mingine kuacha kudharua mahakama . . Majaji waliopo kazini wawatumie majaji wastaafu , LHRC , na viongozi wa dini kukemea uvunjifu huu wa KATIBA . .

Tukiendelea hivi, Raisi kuwa ndio katiba , raisi kuwa ndio mahakama . . , basi tujue tumekubali kuingia ktk kundi la nchi zinazokwenda kushindwa kutawalika . .

Watanzania wakikosa imani na mahakama, basi watachoka, watakosa uvumilivu, watatafuta haki kwa namna nyingine . . , hawatamsubiri Mungu atende kama hawa watu wa Kimara wanavyosubiri . . , na mwisho NGUVU YA UMMA ndio itakayoshinda kwa gharama ya DAMU . . !

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama Ndugai kaisha sema atawaapisha Wabunge wa Lipumba pamoja na Mahakama kutoa zuio
 
Tetty,

Yaani, ni MAHAKAMA tuu ndio mhimili uliobakia na ka nguvu kake ka kujisimamia kwa sasa, mihimili mingine ipo " mfukoni" mwa MTU mmoja tuu . . J. P. M !

NI HATARI KWA NCHI . . , akishafanikiwa kuweka mihimili yote mfukoni kwake . . , TUMEKWISHAAA . . !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa post kwakweli sikutegemea kama kuna watz wanaupeo mkubwa wa kufikiri kiasi chako, hongera sana nice entry
Mkuu usichanganye mambo. Kinga ya rais ipo kwenye Katiba. Amri ya mahakama iko kwenye Sheria. Sasa, sheria yoyote inayokinzana na katiba ni batili. Ndilo jeuri la Kinga ya rais.
 
Kudharaulika kwa mahakama kunatokana na kinga ya rais,kinga ya rais kutokushitakiwa inachangia sana kudharaulika kwa mahakama
Nchini tanzania,sasa hivi mahakama imefanywa kama takataka,nitatoa mfano kudhibitisha tuhuma nilizozitoa kuhusu mahakama kufanywa takataka

Mfano (1)
Tanroard wamebomoa nyumba za wakazi wa kimara wakati kuna zuio la mahakama,hii ni zarauuuuu kubwa sana kwa mahakama zetu,chombo cha serekali kukataa kutii na kutekeleza amri halali ya mahakama nashindwa hata kuelezea,na kuamini kama kweli

Mfano (2)
Mh sumaye waziri mkuu mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania mashamba yake yana zuio la mahakama,lkn amenyanganywa mashamba yake kukiwa kuna amri halali ya zuio la mahakama,hivi ni mifano gani watanzania wanataka kupewa ili wajue mahakama yetu imedharaulika
Rudia maamuzi ya rufaa ya kesi ya mbunge wa arusha mjini,majaji walisema serekali inanajisi sheria

Wako wapi kina jaji warioba,wako wapi majaji wetu wastaafu,jaji Ramadhani,jaji barnaba samata,jaji bomani,na majaji wengine wastaafu?
Liko wapi baraza la maaskofu,liko wapi jukwaa la wakristu tanzania?

Sent using Jamii Forums mobile app

hapo nilipokujazia wino ndipo ulipotia doa bandiko lako...
nchi hii sio ya kidini mkuu.... ila hongera kwa ufafanuzi...
 
Back
Top Bottom