Hamna shida mkuu. Kuuliza si ujinga.Also mine is quiz. I didn't mention you. But If ready you can answer it
Nimekuelewa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna shida mkuu. Kuuliza si ujinga.Also mine is quiz. I didn't mention you. But If ready you can answer it
Mkuu umeeleza vyema sana.Isipokuwa unapotumia neno "NINYI" Si vizuri mana mimi si WAO mimi ni mimi tu.Ninyi kuwaona wote wanaowapinga kuwa si raia una ni sawa?
Kwenye JMT raia wote tunatakiwa tiwena hadhi sawa bila ya kuwa na madaraja.
Hapo sina jibu mkuu.Kweli kabisa madini hayaibiwi kwa sababu ya ukuta?
Hamna jambo baya kama kuwa na roho ya kisasi. Kinachohitajika ni uvumilivu mkuu.Tena kwa staili hii ya sasa ya kukomoana na kulipizana visasi,kabisa na mimi naona ndiko tunakoelekea siku za usoni.
Ila kinachohitajika ni mtu JASIRI asiye na WOGA. Hapo ndo wanapostahili kuwa mafisadi.Park Geun-hye, former South Korean President sentenced to 24 years in prison - CNN
Hawa mafisadi wote wanastahili kuwa lupango kwa muda mrefu sana na kufilisiwa mali zao zote.
Sizonje jamani ni nani?Siku Watanzania tukiamka lazima tuwafikishe Kitambi na Kikwete na huyu Sizonje.
Ni kweli nakubaliana nawe katika mambo ya heshima na kuheshimiana.Heshima Mkuu ni two way traffic. Kama aliyemo ndani ya Taasisi husika haheshimu taasisi husika usitegemee na yeye avune heshima. Mbona Baba wa Taifa Watanzania wengi bado wanamuheshimu na kumuenzi kwa miaka mingi sasa!?
Katiba ni HAKI ya Mtanzazania. Hatuna haja ya kuwa na katiba iliyojaa UJAMAA JAMAA wa miaka ya nyuma.Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana
Ndo litakalokuja kila mwenye kukinywea kikombe atakinywa japo wanaupofu siku zaja watajibu,kuhusu matumizi mabaya ya Madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma,ukiukaji wa haki za binadamu,kupotea kwa watu,nk uzuri technology utunza kumbukumbu na ushahidi, haijalishi ni kipindi gani lkn haki itasimama,pale kinga zitakapoondolewa.Zuma akutegema,Grace Mugabe Kwa heshima ya Mugabe ila akirudi Kwa Muumba ataisoma namba,wasiojulikana wa dikteta mlozi wa Gambia wanasakwa na kukamatwa popote walipo Gambia wanapelekwa jela,waliomuuwa Thomas Sankara kwa amri ya compaore washakamatwa,Mobutu pona yake kufia Morocco zaidi ishu ya Lumumba ilikuwa inalala nae.Sheria HAINA HURUMA.
Angalia mama wa watu huko Korea Kusini. Miaka 24 BILA HURUMA.
Ndo maana wamefanikiwa kuliko sisi tunalindana. Hilo la kulindana halitadumu.
Binadamu hujisahau sana. Historia HUTUNZWA na haifutiki.Ndo litakalokuja kila mwenye kukinywea kikombe atakinywa japo wanaupofu siku zaja watajibu,kuhusu matumizi mabaya ya Madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma,ukiukaji wa haki za binadamu,kupotea kwa watu,nk uzuri technology utunza kumbukumbu na ushahidi, haijalishi ni kipindi gani lkn haki itasimama,pale kinga zitakapoondolewa.Zuma akutegema,Grace Mugabe Kwa heshima ya Mugabe ila akirudi Kwa Muumba ataisoma namba,wasiojulikana wa dikteta mlozi wa Gambia wanasakwa na kukamatwa popote walipo Gambia wanapelekwa jela,waliomuuwa Thomas Sankara kwa amri ya compaore washakamatwa,Mobutu pona yake kufia Morocco zaidi ishu ya Lumumba ilikuwa inalala nae.
Hilo LA MAKOSA ya AKIWA kazini hayo HAITAKUBALIKA. KWA SABABU RAIS YEYOTE NI LAZIMA ALINDE NCHI.Wale wanaotaka raisi afanye miaka 7 wasisahau na kuongeza kifungu kitakachosema raisi ashtakiwe kwa makosa atakayofanya akiwa madrakani
Ni haki ya kila Mtanzania hasa baada ya kurekebisha vipengele TATA.Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu Sana
Mkuu nimengoja jibu kwa nini ni mbaya sana kwao?Hii taarifa ni mbaya sana kwa CCM
Mwalimu Nyerere, alipobaini kuwa wimbi la vyama vingi litamwaibisha. akasema BADUKUSHENI katiba na muweke kipengele cha vyama VINGI. Akaheshimika sanani kweli kabisa,hapo bado maraisi wanaoishi kama ndezi katikati ya mbwa mwitu baada ya kuachishwa madaraka,akina Yahaya Jameh wanaficha magari hadi porini,akina Mugabe umaarufu umetoweka ghafla baada ya kuondolewa madarakani kabila kila leo anakaliwa kooni nk,bado hapa kwetu wanahofia nini kitatokea siku katiba ikibadilika,matokeo wanatumia nguvu kubwa kuvuruga mchakato wa katiba mpya,siku zinabadilika sana,sura ya ulimwengu inabadilika sana kadri siku zinavyokwenda
By the way wanakula ga ruzuku za aina ipi?Na wenyeviti wa vyama wanaokula ruzuku
kwani ule mchakato wa kuibadilisha umeishia wapi!?As ana ACT of parliament inweza kuwa amended.
Kama mtu aliinia serikali ashitakiwe.
Si kumshitaki kwa majukumu yake aliyokuwa akiyafanya akiwa uongozini. Bali
Kiongozi MWIZI lazima WABUNGE waliangalie hili. Na kulibadilisha.
KATIBA iliandikwa na wanadamu.N a wanadamu ndo watakaoi badilisha.
Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?