Bome-e
JF-Expert Member
- Jan 3, 2014
- 17,179
- 26,188
Sisi wananchi tukidemand hilo,haliwezekani???Serikali ndio yenye watawala waliojiwekea kinga. Ndio huwapa uwezo WA kufanya uyasemayo. Kuweka kisu shingoni mwao utasubiri mpaka yesu aje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi wananchi tukidemand hilo,haliwezekani???Serikali ndio yenye watawala waliojiwekea kinga. Ndio huwapa uwezo WA kufanya uyasemayo. Kuweka kisu shingoni mwao utasubiri mpaka yesu aje.
Viongozi wetu wengi wanapiga tu kelele jukwaani lakini wanajijua wenyewe viwango vyao vya uadilifuInamaana hajiamini au?
Mwananchi umekabidhi uhuru wako Kwao huna uwezo wa kudemandSisi wananchi tukidemand hilo,haliwezekani???
Unategemea mwenye kisu ajichinje mwenyewe?Nchini korea kusini,tumeshuhudia Rais wa zamani wa nchi hiyo akikutwa na hatia na kuhukumiwa kifungo jela cha miaka 15 kwa kupokea rushwa!
Kwa nchi hiyo pekee,Lee ni Rais mstaafu wa 4 kuhukumiwa kifungo kwa uhujumu uchumi!
Pia suala kama hilo limeshatokea nchi mbalimbali kwa marais wastaafu na mawaziri wakuu kukutwa na hati kwa makosa ya rushwa na ufisadi!
Kwa mantiki hiyo,Tanzania siyo kisiwa!Ni wakati sasa kwa serikali kupeleka muswada ili kuwe na uwajibikaji!
Nchi za Africa ndizo zinazoongoza duniani kwa kuwa na corrupt government!Hasa ukizingatia ni juzi tu China imesema yenyewe haipaswi kulaumiwa kwa viongozi wa nchi za africa kwa kuwa corrupt kwani wao sio waliowaweka madarakani,hii ilitokana na china kushutumiwa kuzihadaa nchi za Africa na kuwapa mikopo mikubwa isiyolipika kisha kushikilia vitega uchumi vya nchi hizo!
Kwa Muktadha huu,ni vema Rais Mzalendo JPM akachukua hatua ili kuweka misingi ambayo hata akiondoka,kusiwe na Rais atakayedhani anaweza kula rushwa huku akijua ana kinga ya kutoshtakiwa!!!
Wakati ni sasa,badala ya kuhangaika na visheria visivyokuwa na kichwa wala miguu kama sheria ya takwimu,ni vema tukafanya remarkable reforms kwenye sehemu nyeti kama hizo!
Na hiki ndio kitakuwa kipimo kikubwa!Viongozi wetu wengi wanapiga tu kelele jukwaani lakini wanajijua wenyewe viwango vyao vya uadilifu
Nikikumbuka definition ya form two ya Government,kichwa kinaumaMwananchi umekabidhi uhuru wako Kwao huna uwezo wa kudemand
Ķwani si muadilifu na mzalendo kama wanavyomsemaUnategemea mwenye kisu ajichinje mwenyewe?
Uadilifu na uzalendo katika context ipi? haiwezekani ndani ya miaka kumi mtu usijambe mkuu ...Ķwani si muadilifu na mzalendo kama wanavyomsema
Jaribu, Mimi simo.Sisi wananchi tukidemand hilo,haliwezekani???
Haijawahi kutokea duniani kote mtawala kujinyonga mwenyewe!Why?JPM wanasema wana uthubutu
Wenzetu korea walifanyaje mpaka wakawa na sheria hizo?Haijawahi kutokea duniani kote mtawala kujinyonga mwenyewe!
Soma historia za mataifa hayo,halafu ujiulize,je,upo tayari kupita njia iliyowafikisha hao wenzetu huko?Wenzetu korea walifanyaje mpaka wakawa na sheria hizo?
Nways,nadhani kama tuna uthubutu tunaweza!Soma historia za mataifa hayo,halafu ujiulize,je,upo tayari kupita njia iliyowafikisha hao wenzetu huko?
Kama haupo tayari,basi kaa kimya,usubiri kuzeeka then ufe,uwaachie watoto wako pia wakiendelea kuota ndoto kama ya kwako,na wao watazeeka na watakufa,itabaki hivyo mpaka wawepo watu watakaopitia njia walizopitia wenzetu unaowasema!
Una uthubutu wewe???Nways,nadhani kama tuna uthubutu tunaweza!
Kila kitu kinaanza na movement katika siasa!Una uthubutu wewe???
Au kuna wengine wamekwambia wana uthubutu pia?
Nimekuuliza,upo tayari wewe?Kila kitu kinaanza na movement katika siasa!
Mimi niko tayari!Nimekuuliza,upo tayari wewe?
Au nani unayemaanisha?ni watanzania hawa hawa ninaowajua au una maanisha wepi????
Basi usisubiri wengine,anza wewe mwenyewe,wengine watafuata!Mimi niko tayari!