Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

The Bleiz

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2012
Posts
5,070
Reaction score
13,511
IMG_20220205_084630.jpg

Moja ya mapendekezo yanayopelekwa bungeni ni polisi kutoadhibiwa Kwa jinai pale wanapotekeleza majukumu Yao wakiwa undercover na kusababisha jinai . Kwa mfano polisi yupo undercover akapiga mtu RISASI akidhani ni mwalifu awezi kushtakiwa.

Ikitokea polisi Kuna maandamano au Kuna Jambo lolote la kutafuta haki linaendelea polisi wakataka kulizima na katika kulizima ikatokea jinai basi huyo askari atochunguzwa wala kufikishwa mahakamani Kwa tuhuma zozote.

Aina hizi za Sheria zinaletwa Tanzania Wakati Nchi nyingine ikiwemo Kenya walishafuta kesi hizi na Kinga za aina hii na kuziondolea mbali ambapo Kenya hata Rais akitenda jinai anashtakiwa. Tumeona Afrika Kusini na mataifa mengi yanayojali haki ya kuishi na haki ya Kila mtu yupo chino ya Sheria wakiongoa hizi Sheria. Kwa Tanzania Rais, Makamu, Waziri Mkuu, spika, judge, na Sasa police nao Wana Kinga. Kwa maana nyingine Wananchi pekee ndio wasio na Kinga ila watumishi wa umma wengi na wanasiasa wamewekewa Kinga.

Kwanini tunawaza kuhalalisha uhalifu Kwa watu wanaolipwa mishahara? Hivi hii Kinga ingekuwepo Leo Waziri Mkuu angeenda kuunda Tume ya issue ya Mtwara? Kwanini tusitegemee Kuanzia kesho kutwa Sheria ikipita basi Kila mauaji ya dola tunaambiwa yanafanyika undercover? Kwanini Sheria kama hizi zinapelekwa kwa hati ya dharura? Kuna uharaka Gani?
 
Hawa ma CCM wanatuona wananchi majuha Sana,Aisee ipo siku hizo sheria za kipuuzi zitawarudia wao na familia zao
Still waiting Mamady Dombuya of bongo to remove all waste in da Nation of Tanzagiza!
 
Sheria za hovyo kabisa hizi mkuu.
 
We need another approach to secure our freedom
 
CCM sijui huwa wanawaza nini aisee
 
Tatizo la ccm wanadhan watatawala milele ili waendelee kulinda maslai yao kuna siku ccm itaanguka sheria hz pia za kutaka kuwalinda tanpol wataumiza pia ndugu zao na jamaa zao plc ninyi ccm musipitishe sheria hiyo ni hatar kwa watz ikiwa tanpol watalindw kwa kutenda uharifu
 
Back
Top Bottom