Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

Kinga wanayokwenda kuwekewa Polisi 'undercover' kwenye Sheria inaweza ikahalalisha Polisi kufanya uhalifu dhidi ya binadamu kama Mtwara?

Ikipitishwa polisi wengi watauliwa na raia. Hakuna askari wasiopendwa na raia kama polisi.
 
Huo mswada uko wapi?

Polisi wanaua watu na raia Pia nao wanaua kila siku unasikia mtu amemuua mama yake au Baba yake NK.

Jamii imeamua na Polisi wanatoka katika ndani ya jamii
Tafuta utaupata, upo
 
Ndugai alipoanza kuongelea hizi sheria zinazometwa bungeni kwa hati ya dharura uspika wake ukafika kikomo. Wabunge mizigo wa FISIEMU hili nalo litapita kwenye mikono yao. Wanasahau kesho yao nao wataitwa raia
 
Nina mpango wa kufunga TVs kwenye ofisi zote za detectives hapa nchini na kuwawekea ile dstv programme ya ID ili wajifunze jinsi ya kupeleleza case hasa homicide.
Suala sio kupeleleza mzee...suala ni miundo mbinu yenye kusupport huo upelelezi kwa ujumla wake nchi nzima imehakikishwa??..hapo ndio ugumu unapoanzia... Sasa kama mpaka leo casefile zinafunguliwa kwenye daftari counterbook la kwaya 4, unategemea nini??. Kama msingi pekee wa kesi upo kwenye daftari..??..
 
Suala sio kupeleleza mzee...suala ni miundo mbinu yenye kusupport huo upelelezi kwa ujumla wake nchi nzima imehakikishwa??..hapo ndio ugumu unapoanzia... Sasa kama mpaka leo casefile zinafunguliwa kwenye daftari counterbook la kwaya 4, unategemea nini??. Kama msingi pekee wa kesi upo kwenye daftari..??..
Ndio maana ninaishi in a pithole country,hadi leo police wangu hawajui hata the way to approach a crime scene ni vurugu tu,watu wanakufa(homicide)miili yao inazikwa bila hata ya kufanyiwa uchunguzi wa kina.
 
Yule afisa wa polisi aliyefia mahabusu baba yake alikua kwenye system na huenda matendo yale aliyafahamu lakini walifanyiwa watoto wa wenzake.

Alipofanyiwa mwanae alitoa machozi. Karma is real.

Watunge tu lakini mwisho wa siku, itawageuka wao na watoto wao na vitukuu vyao!!

Hawataamini lakini karma itawatafuna as far hawataishi milele ila wanalofanya litaadhiri vizazi vyao wenyewe na atatokea mtawala ambaya hatawajua wao kama walikuwa kwenye system.

Ndipo itakuwa kulia na kusaga meno!!
 
We una chuki binafsi na Waislamu kaka
Hapana, Nina Bibi yangu na some of my relatives, blood related ones, wanaolewa na kuoana na waislamu. Namlea mtot wa muislamu wakati Mimi Ni "Yesu". Huyu mama ushungi Ni katili Sana, anadhalilisha uislamu , Kama Jiwe alivyoudhalilisha Ukristo kwa kuua, kupoteza, kubambikia watu kesi etc etc
 
Dawa nikudai katiba ya warioba, yaani sisi tunalalamikia katiba mbovu wao ndo wanazidi kuweka viraka vya kuwabeba.
 
Kama ni kweli, itakuwa zama za kuenea kwa kings Tanzania.
Ilianzia kwa top state officials, sasa inakwenda kwa operational personnel.
 
Wahalifu pekee ndio wenye hofu na hicho kipengele kama raia mwema hofu ya nini,sheria isiwe kikwazo kwa vyombo vya ulinzi na usalama kushindwa kufanya kazi zao ipasavyo na kuendeleza usalama uliopo,katika marekebisho yaliyofanyika wahusika wawezeshe hizo agence kuweza kufanikisha shunguli zao hasa vitendea kazi na rasilimali fedha vinginevyo ni kutwanga maji kwenye kinu.
 
Back
Top Bottom