Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Channel 171 au 172 IDX. Kwakweli uhalifu unatatuliwa Kwa akili siyo mabavu, mabavu ndiyo yame look ETA #blacklivesmatter n.kNina mpango wa kufunga TVs kwenye ofisi zote za detectives hapa nchini na kuwawekea ile dstv programme ya ID ili wajifunze jinsi ya kupeleleza case hasa homicide.
Tafuta utaupata, upoHuo mswada uko wapi?
Polisi wanaua watu na raia Pia nao wanaua kila siku unasikia mtu amemuua mama yake au Baba yake NK.
Jamii imeamua na Polisi wanatoka katika ndani ya jamii
We una chuki binafsi na Waislamu kakaUkiona mtu anajifunga bomu na kujilipua eti atakwenda mbinguni, ujue na uzao wake wote Ni makatili. Ushungi Ni katili asiyemithirika
Duh !Hiyo ni kinga ya 2025 mzee
Suala sio kupeleleza mzee...suala ni miundo mbinu yenye kusupport huo upelelezi kwa ujumla wake nchi nzima imehakikishwa??..hapo ndio ugumu unapoanzia... Sasa kama mpaka leo casefile zinafunguliwa kwenye daftari counterbook la kwaya 4, unategemea nini??. Kama msingi pekee wa kesi upo kwenye daftari..??..Nina mpango wa kufunga TVs kwenye ofisi zote za detectives hapa nchini na kuwawekea ile dstv programme ya ID ili wajifunze jinsi ya kupeleleza case hasa homicide.
Ndio maana ninaishi in a pithole country,hadi leo police wangu hawajui hata the way to approach a crime scene ni vurugu tu,watu wanakufa(homicide)miili yao inazikwa bila hata ya kufanyiwa uchunguzi wa kina.Suala sio kupeleleza mzee...suala ni miundo mbinu yenye kusupport huo upelelezi kwa ujumla wake nchi nzima imehakikishwa??..hapo ndio ugumu unapoanzia... Sasa kama mpaka leo casefile zinafunguliwa kwenye daftari counterbook la kwaya 4, unategemea nini??. Kama msingi pekee wa kesi upo kwenye daftari..??..
Yule afisa wa polisi aliyefia mahabusu baba yake alikua kwenye system na huenda matendo yale aliyafahamu lakini walifanyiwa watoto wa wenzake.
Alipofanyiwa mwanae alitoa machozi. Karma is real.
Wewe unafikiri wananchi wakichoka na kinga hizi dhidi ya wanaowaonea itakuaje?? Watajichukulia sheria mkono dhidi yao.Hiyo ni kinga ya 2025 mzee
Mtapowekewa kinga ya kuomba katiba ndio mtatia akili😅Muda si mrefu inakuja KATIBA MPYA , huo uchafu wote utafutiliwa mbali
Uchaguzi wa 2025 ni rahisi Sana (kwa ccm) kwa katiba iliyopo. Mabegi meusi yanasambazwa nchi nzima basi biashara imeisha. Hakuna haja ya risasi.Hiyo ni kinga ya 2025 mzee
Inafurahisha na kufikirisha hiyo Katiba Mpya inayodondoka toka mbiguni!Muda si mrefu inakuja KATIBA MPYA , huo uchafu wote utafutiliwa mbali
Hapana, Nina Bibi yangu na some of my relatives, blood related ones, wanaolewa na kuoana na waislamu. Namlea mtot wa muislamu wakati Mimi Ni "Yesu". Huyu mama ushungi Ni katili Sana, anadhalilisha uislamu , Kama Jiwe alivyoudhalilisha Ukristo kwa kuua, kupoteza, kubambikia watu kesi etc etcWe una chuki binafsi na Waislamu kaka
Aisha kwenye profile hapo ni wewe?We una chuki binafsi na Waislamu kaka