Na vyama vya upinzani vikikubali kuingia kwenye uchaguzi chini ya Magu bila ya Tume huru basi ndio karata ya mwisho ya kufa kwao.Sijui kuna mkakati gani vyama vya siasa wadau na Watanzania wapenda haki kudai tume huru na katiba bora!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuota hivyo hivyo kuwa utapewa tume kufumba na kufumbuaSuala la Tume huru halihitaji muda mrefu kama kulea mimba, ni suala la muda mchache tuu.
Viongozi hao waliotajwa wakiamuwa kushirikiana kulipambania ni kufumba na kufumbua tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Vyama vya upinzani vipo kisheria na vina majukwaa ya kusemea. Jukumu hilo ni langu na lako kupitia kuunga mkono hoja hiyo.kudai te huru sio jukumu la upinzani na viongozi wake..
tume huru ni kwa manufaa zaidi kwa raia so hata wew unajukumu la kudai tume huru..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusimika wagombea sio hoja, mbona uchaguzi wa SM mliamua kucheza faulu pamoja na kusimika wagombea? Ni baada ya kugundua mkiingia kwenye ule uchaguzi kwa njia sawa sasa hivi ungekuta more than 70% ya wenyeviti sio wa ccmEndelea kuota hivyo hivyo kuwa utapewa tume kufumba na kufumbua
Mkiwa bize kulilia tume,ccm tupo bize kusimika wagombea na kuandaa vifaa vya kampeni
Mkija kustuka muda umeisha,mnatangaza kujitoa dakika za mwisho mkitegemea mabeberu watawabeba
Acha kuhamisha goli,makosa ya kususia SM,sasa hivi yamewatupa kabisa nje ya SM,susieni na General Elections muone kama mtapata mabeberu wa kuwasaidiaKusimika wagombea sio hoja, mbona uchaguzi wa SM mliamua kucheza faulu pamoja na kusimika wagombea? Ni baada ya kugundua mkiingia kwenye ule uchaguzi kwa njia sawa sasa hivi ungekuta more than 70% ya wenyeviti sio wa ccm
Sent using Jamii Forums mobile app
Anzeni tu kujikanganya,mkipata kura tano msiseme mmeibiwa
Suala la tume mlitakiwa mlianze mara bada ya uchaguzi wa 2015.
Mnakurupuka leo na kujazana ujinga wa kususa,nyie suseni tu,sie ccm tunaingia uchaguzini 100 kwa 100
Umma gani unaousemea hapo,labda chadema wenzakoNyie ccm sio kuingia tu, hata mkitaka mnaweza kwenda kuishi kwenye vituo vya kura kuanzia sasa. Nyie ndio wafaidika wa hizi chaguzi za kishenzi chini ya tume isiyo huru ya uchaguzi. Hivyo kwenu tume huru ni kikwazo, tutashangaa msiposhiriki. Lakini sisi umma tunaojotambua hatuko tayari kushiriki uhayawani wowote bila tume huru ya uchaguzi. Uzuri ni kuwa njia ya kura ni moja ya njia za kuweza kupata viongozi kwa uhalali, lakini sio njia pekee ya kupata viongozi. Umma utaonyesha nguvu yetu, na hao viongozi wa vyama vya upinzani wasiojua wajibu wao na matakwa ya umma tutawakataa kiwaziwazi pindi umma utakapochukua hatua.
Acha kuhamisha goli,makosa ya kususia SM,sasa hivi yamewatupa kabisa nje ya SM,susieni na General Elections muone kama mtapata mabeberu wa kuwasaidia
Mtakwenda tu,subiri uandamane uwekwe mahabusu,barua ya dhamana mtapata wapi?Kwa taarifa yako kiongozi yoyote ambaye hajachaguliwa na umma hata kama yuko ofisini bado hana uhalali wa umma. Mimi kwenye mtaa wangu kiongozi wa SM za mitaa kaitisha mkutano mahudhurio yalikuwa duni sana. Ni kweli yuko ofisini lakini umma hauna ushirikiano naye. Ujue hata viongozi wanaioingia kwa kupindua nchi huwa wanawatendaji huko kwenye mitaa, Ila uhalali wa umma haupo.
Umma gani unaousemea hapo,labda chadema wenzako
Maalim sefu hawezi kuwasikiliza na kufanya tena kosa la kususa kwa sababu anakwenda kuwa chama kikuu cha upinzani katika bunge la JMT
Hilo ndio linawapa homa,ndio maana mnatafuta vijisababu kuharibu uchaguzi mnajua hakuna chenu safari hii
Mtakwenda tu,subiri uandamane uwekwe mahabusu,barua ya dhamana mtapata wapi?
Tunawajua nyie,mlihimizana kuvunja line za voda lakini mka renew kimya kimya
Endelea kuota hivyo hivyo kuwa utapewa tume kufumba na kufumbua
Mkiwa bize kulilia tume,ccm tupo bize kusimika wagombea na kuandaa vifaa vya kampeni
Mkija kustuka muda umeisha,mnatangaza kujitoa dakika za mwisho mkitegemea mabeberu watawabeba
..."Roho iko radhi, bali Mwili ni dhaifu"
Wananchi wako tayari kutaka hiyo tume huru, lakini hao viongozi uliowataja ni dhaifu sana mbele ya pesa.
Tambua siasa kwao ni ajira, kuwaambia wasusie uchaguzi ni sawa na mwajiriwa kuandika barua ya kuacha kazi wakati hana kazi.
Ni ngumu.