Kingunge: Bila tume huru, wapinzani wasahau kuingia Ikulu

EL wakati yuko CCM alikuwa hataki serikali tatu maana kwa mujibu wa katiba mpya raisi wa Muungano angekuwa na power ndogo!
Mzee Kingunge hawa ni wahafidhina wa CCM waliokuwa wanataka serikali mbili na kwa ushawishi wao wakateka Katiba ya wananchi wakatuletea rasimu yao waliyokwisha iandaa mafichoni.
Leo hii anataka Katiba mpya , Wee mzee wewe, weee mzee wewe!
 
Kwa utawala huu Wa sizonje sijui Kama ataruhusu hicho kitu kitokee coz anajua anachotufanyia sisi akina nanilii huku gizani
 
kiongozi umemaliza kila kitu asante sana hakuna jipya hapo watu kama hawa ni wakupuuza kabisa ametumika miaka yote bila kusema chochote leo ndiyo anajifanya kuzungumzia agenda za tume huru na katiba utadhani hakuwepo madarakani aise hiki ni kituko cha kufungia mwaka
 
Mkuu hamna anaelaumu ila tunapaswa kujifunza kuwa unacho Fanya Leo kiwe kwa faida ya Leo na kesho
 
Walio tunga katiba na yeye alikuwa mjumbe. Wapinzani walipo sema katiba mbovu yeye aliwapuuza Leo analalamika ajue anacho kilalamikia ndicho alicho kitengeneza bila kujua kesho yake itakuwaje? Tujue tunacho kiaanda Leo ndio matokeo ya kesho
Kwenye swala la tume huru, kuhojia mahakamani matokeo ya kura ya urais, msimamo wako ni UPI?.
 
Mkuu hamna anaelaumu ila tunapaswa kujifunza kuwa unacho Fanya Leo kiwe kwa faida ya Leo na kesho
Mkuu siasa ni tofauti na matukio ya fani nyingine. Alichofanya Kingunge wakati ule ndio kinampa faida leo yeye mwenyewe kukipinga. Hiyo ndiyo politics acrobatic. Hakuna kitu cha ukweli kinachosimama daima katika siasa.
 
Mkuu siasa ni tofauti na matukio ya fani nyingine. Alichofanya Kingunge wakati ule ndio kinampa faida leo yeye mwenyewe kukipinga. Hiyo ndiyo politics acrobatic. Hakuna kitu cha ukweli kinachosimama daima katika siasa.
Kwa hiyo unataka kusema kwenye siasa kila kitu ni Dharula?
 
Wanasiada bwana inamaana miaka yote alikua halijui hilo? Au mwaka jana alikua anamdamganya swahiba wake kua atashinda lkn anajua waz kua hawez kushinda kwa tume hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…