Mkuu unaweza ukawa na Tume huru lakini kusiwepo Uhuru wa Tume kumbuka na iloAjenda kuu ya upinzani na hasa ukawa ni lazima iwe tume huru ya uchaguzi kama kweli tunataka haki yetu ya ushindi ilindwe
umeandika nini [emoji41] ?hapana ...we ndio unakosea...ukiwa kwenye taasisi flani inapaswa utetee msimamo ya hiyo taasisi...na ndicho alichokua alifanya ngombale...
wew kama Mimi Safi sna mkuuisitoshe mpaka hivi majuzi tuu wakati wa bunge la katiba, wote hao EL, Sumaye, Kingunge walikuwa against UKAWA, nashindwa kuelewa hii nguvu wanaipata wapi.?
siasa za Tanzania ni za kinafiki sana na zenye kuangalia maslahi binafsi. halafu eti wanasiasa wanafiki wa aina hii ndo wanataka tuandamane tuvunjwe miguu kwa ajili yao, mi nasema hivi yeyote anayeingia madarakani ndo ninamuunga mkono.
wadhulumiane huko wawezavyo, yule mdhulumaji anayewazidi nguvu wadhulumaji wenzie mi ndio namuunga mkono, sitaki stress mie maisha yenyewe mafupi haya. akhaaaa.!
Na yote hiyo ni kulingana na wakati. Hivyo kubadilika sio jambo la ajabuhahahahah alishindikiza .au.alishindikizwa mkuu? ilkuwa.lazma mult party system iazishwe mkuu na sio nyerere
Mwalimu Nyerere alisema mpinzani wa kweli atatoka CCM, hata hivyo Mwalimu Nyerere ndie aliyefuta mfumo wa vyama vingi baada ya Uhuru na pia ndie aliyependekeza na kuurudisha mfumo wa vyama vingi miaka ya 90 kiasi kwamba kila mtu anamsifu Mwalimu Nyerere hadi leo ,sasa iweje tumbeze Kingunge?Ni mnafiki, mbona Ukawa walipotoka yeye hakutoka kama kweli alikuwa na nia njema na taifa letu?
hahahah ni rahisi mno kuandika ila ni vigumu.mno kuamini ulicho andika,usifute j ibu lako mkuu hlo ndo sahihi .Siku ambayo Tanzania itatengeneza katiba mpya na kupatikana kwa Tume huru ya Uchaguzi basi CCM itaondoka madarakani mchana kweupe
He is not realistic and hence he is to be ignored.what do you say?
Muunge tu mkono mkuu. Ni haki yako. Ila kwa hii mianasiasa ya Bongo michumia tumbo hii you will be disappointed again and again. I am sorry but psychologically it gonna be a bumpy ride for you.Wenzetu husema "it is better late than never". Wangeangalia mbele wangeona lakini ukiwa mtawala unafikiria jinsi ya kuhadaa wapinzani wako unasau huenda siku moja ukawa mpinzani. EL, FS, KNM na Masha nao ni zamu yao kujua mabaya ya kile walichokua wanasimamia-safari hii tunaisoma wote namba lakini waliobaki huko CCM wasipoangalia iko siku zamu yao itafika. Bado namuunga mkono hata kama alichelewa.
Chai ya ikulu tamu wewe. Hebu muone Prof. alivyo makini utafikiri hajawahi kunywa chai maishani. Badala ya kusubiri mwenyeji aionje kwanza ili kuhakikisha haina sumu, wenyewe hata wafe sawa tu.Mkuu naona mabwana wanavyochangamkia chai bila hata itifaki,wanaiwahi chai kabla hata ya mwenyekiti!
I think, he would be best legendary if he would retire from this youth politics gentleman [emoji124]He is not realistic and hence he is to be ignored.
Mkuu najua wewe ni mfia chama ila tuweke uzalendo kidogo. Hawa akina Kingunge hawa? Umesahau hasira zake zilianzia wapi? Akina Mahanga? Umemsahau mkuu? Masha? Muulize Wenje! Mmekatisha wengi tamaa! Wengi wasiojua muda utaongea tu. Tatizo si kukosea ...bali baada ya makosa mnafanya nini! Ukisoma historia ya kanisa unakumbuka hakuna mtikisiko mkubwa uliopasua kanisa kama ule wa Martin Luther ....pamoja na Kanisa kuamini Luther alikosea lakini walijitathimini na kufanya marekebisho pale walipoona kulikuwa na hoja. Chadema inapaswa kufanya marekebisho makubwa yatakayorudisha mwamko upya. Tuache kutetea kila kitu tuseme ukweli chama kipone...Nyie ni watu sio mawe hivyo watu wanatakiwa kubadilika kutokana na wakati. Ni aibu mtu uliyesoma kumlaumu mtu eti mbona zamani alikuwa na msimamo ule na leo ana msimamo huu.
Mwanzilishi wa sheria ya muundo wa utawala wa Chama kimoja ni Mwalimu Nyerere, lakini ndiye huyohuyo aliye shinikiza kuwa sasa wakati umefika kuwa na vyama vingi. Mbona hamkumshangaa
Huyu mzee si alikuwa kwenye bunge la katiba, wanazingua, waongee wengine si hawa