Kingunge ameongea Ukweli haijalishi kuwa mchakato umekwisha na kumpata Magufuli , yeye ameanika kilichofanyika ili iwe fundisho na kumbukumbu huko mbeleni, inashangaza watu wanamtusi na kumkejeli kwa kusema ukweli , Kama hajasema ukweli , Nape aitishe waandishi aseme ukweli wake , hivi kwa nini watanzania wengi wanapenda kuishi kwa unafiki ? Msema ukweli siku zote hugeuka Adui ya wengi ! Sasa Mzee kingunge anaonekana mchawi kisa kasema Ukweli ! Haya maisha ya kukumbatia Unafiki hakika yakiendelea nchi hii haiwezi kupata maendeleo kamwe .