Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Halafu kwa utulivu gani alionao Kinje? Zuchu sio king'ang'anizi kumzidi Anitha lakini yalimshinda kajiondokea zake.

Haya waseme wengine sio Kinje, atulie azeeke kwa amani mapenzi aachie wengine.
Anasema wanalia shida Tu , kasema yeye hayo
 
Alikuw akiishi majengo au njoro kama sikosei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…