Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Ubungo stand ndiyo ilikua inawapa jeuri ya pesa,hawajawai kua na pesa yao kama yao!!
Bhaeleze watoto wa 2000's..kuna mmojahuko juu kasema Kinje ana hela kama utitiri..lol angesema zamani sawa kwanini Nitha kamuacha kisa kipi? Kaona anaendekeza umalaya no future...wakaanza kutunishiana misuli.toka serikali toka wapokonye stand ikawa chali
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tupo hapa wazee wa enzi hizo majengo,town,pasua, ccp, kcmc, shant mpk na rau huko!!
 
Ndivyo ilivyo, ukipgwa na mishale mingi. Vijana wana la kujifunza Kwa wakubwa zao.
 
Na mwamba anawanyoosha tokea enzi zile za Miss Tz ya Lundenga, yaani hawa Mamiss kawatafuna sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…