Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Hili Jina ndo naliona hapa! Miaka ya nyuma watu wa moshi mjini watakuwa washalisikia hili jina, lilikuwa la "gasho" maarufu sana


Mmnh labda umemchanganya na mtu mwingine.
Huyo mzee wa totozi kwa miaka mingi mjini tangu 90’s huko Halafu awe shoga ?
Sizani.
Jamaa kama kuzipiga amezikula haswa mchezo . 😀😅
 

😀😅
Ni Matumbi Og bana 😆😆
Ukimuangalia kama mmanga Fulani , mazaake alikuwa na uzungu fulani lakini ni Mmatumbi og kabisa.
 

Kwa hiyo miradi ikikata na Hela huwa inakata kabisa ??
Kwamba alikuwa akiishi kwa cash basis na mzee wake na maza ake ??!
 
Huyu kinje si nilisoma naye form 6 pale Benjamin au majina tu?
 
Zama za kuolewa ili upate mali zimpoitwa na wakati.
Omba mgao wa mali toka kwa babako
 
Kikuu message imefika. Hii message ilikua ya kinje. Naomba tafuta picha ya mke wake uje apa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…