akatiwanya
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 674
- 868
Mjuze amjue huyo Kinje acha ushamba mkuu.Wewe mjini WA kuja mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjuze amjue huyo Kinje acha ushamba mkuu.Wewe mjini WA kuja mkuu
Means ukiweza kuweka tofali 50 kila mwezi una tofali 500 sawa na vyumba viwili vya kulala na sebule.Hii naanza nayo hii Mid February all the way up to December...
Means ukiweza kuweka tofali 50 kila mwezi una tofali 500 sawa na vyumba viwili vya kulala na sebule.
Ndiyo mkuu japo bei hutofautiana na maeneo, sasa ya kuchoma utapata mengi zaidi, almost tofali 750 za kuchoma....kwani maskini wanajengaje???Aisee, ila maisha tunayaogopa bure tu... kumbe 500,000 ni tofauli 500!...
SAHIHI KABISA !!!!!!! NI JANGA KUBWA SANA!!!Team sapoti ndoa njooni mpangue hii hoja.
NB: zingatieni zaidi ya 95% ya wanawake wa kizazi hiki huuza miili yao, either directly or indirectly.
Awe mtu sahihi au si sahihi yeye hataki kudhulumiwa alichokitafuta burebure tu.Sisi binadamu huwa tunaangalia sana mapungufu ya wengine bila kuangalia ya kwetu. Je yeye ni mtu sahihi kwenye mahusiano?
Amechelewa sana angesaini prenup wakati wa ndoa, kwa sasa akiachana na mkewe mgawanyo wa mali lazima u take place kwa mujibu wa sheria ya jamuhuri ya muungano wa TZ 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😜 atadhulumiwa tu, asipotaka abadili sheria ya nchiAwe mtu sahihi au si sahihi yeye hataki kudhulumiwa alichokitafuta burebure tu.