Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Kinje asema hatoweka malengo na mwanamke kwani wana tamaa ya kupitiliza, asema anaangalia maisha yake tu

Kinje O' level alisomea Azania Secondary School, huyu jamaa miaka ya 90 alitukimbiza sana hapo mujini Daslama, tulipambana nae sana kwenye totoz nashangaa sana kashtuka sasa hivi umri umekimbia wa kulea vijukuu huu. Group lao la kina Omary Kimbau na Abbas Mwinyi tulipambana nao sana watoto wa kinondoni. Kinje kwa sasa atakua kwenye late 50s hawa watoto wa kisasa hawawezi watammalizia pesa zake tu. Sie wabeba mabox tukija bongo tunavikunja vitoto halafu dollari zikiisha tunasepa😀😀😀Umri umeenda Kinje.
 
Aisee, ila maisha tunayaogopa bure tu... kumbe 500,000 ni tofauli 500!...
Ndiyo mkuu japo bei hutofautiana na maeneo, sasa ya kuchoma utapata mengi zaidi, almost tofali 750 za kuchoma....kwani maskini wanajengaje???

Mara nyingi watu tuna ogopeshana.
 
Awe mtu sahihi au si sahihi yeye hataki kudhulumiwa alichokitafuta burebure tu.
Amechelewa sana angesaini prenup wakati wa ndoa, kwa sasa akiachana na mkewe mgawanyo wa mali lazima u take place kwa mujibu wa sheria ya jamuhuri ya muungano wa TZ 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😜 atadhulumiwa tu, asipotaka abadili sheria ya nchi
 
Back
Top Bottom