Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Majira ya leo mchana IGP Simon Sirro amesema kwenye majibizano ya Risasi aliyokuwa yakiendelea Dar es salaam kati ya police na Raia mmoja asiyejulikana.

Police wawili wamepoteza maisha kwenye majibizano pamoja na mtu huyo aliyekuwa akijibizana Risasi na police nae kauwawa mwenye asili ya Kisomalia.
 
Huyu jamaa siyo mjinga, kuna ujumbe alikuwa anaufikisha. Vyombo vyetu vya usalama vinabidi kwenda extra miles, wasiishie tu kusema tumemuua.
Mpaka sasa tunatoa hisia zetu tu. Tusubiri tusikie habari kamili
 
Kifo chake ni so unnecessary kama ajaua mtu.

But then

Sumu aionjwi
 
Kwa maelezo ya waliokuwepoo jamaa alikua anatamka hataki kudilii na raia anataka askari tu...kauwa traffic kadhaaa
Duuuh! Mbaya san awangejitahidi wasimuue ili wambane vizuri nadhani atakuwa ni masalia ya kibiti na msumbiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…