Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Alishaua lazima na yeye afe
 
Class ya bunduki aliyokua anatembea nayo nafikiri hakuna raia mwenye clearance ya kua nayo.

So tunabakiwa na mawili. Ama anatokea vyombo vya usalama au gaidi.
Mjambazi kibao wana SMG. Raia kibao wana SMG za magendo
 
Hii imekaa kama movie ya utayari jambazi gani hakimbii, hajifichi, hashambulii basi ili apate hata human shield ajaribu kutoroka??
Hujaona clips zote... huyo anaweza akawa na mafunzo kabisa... kuna sehemu alijificha kwenye kibanda akawa anashambilia... atoroke ili iweje wakati ameshamkadhi mola maisha yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…