Travis 1
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 878
- 1,373
Lakini kuna watu wanalipwa mishahara kwa kazi hiyo ya kuzuia? Ni uzembe tuWewe mwenyewe hapo kwenu/kwako kuna vitu haramu vimehifadhiwa na hujui. Unadhani ni rahisi kukagua kila kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kuna watu wanalipwa mishahara kwa kazi hiyo ya kuzuia? Ni uzembe tuWewe mwenyewe hapo kwenu/kwako kuna vitu haramu vimehifadhiwa na hujui. Unadhani ni rahisi kukagua kila kitu
He is just another Confused Extremist, mtu kama huyu alitakiwa awe incapacitated, yaani wangeshoot mikono au miguu apate tu kilema Ili ahojiwe vizuri na Ili atueleze vizuri huu ujasiri kautoa wapi.
Vyombo vya usalama kuweni Makini Kuna message inatolewa hapo.
Ila huyu marehemu anaonekana ni amateur kabisa. Una shoot hovyo na anatembea kwa uwazi kabisa hivi, Ila pia,anaonekana hakuna na lengo maalumu
Mjambazi kibao wana SMG. Raia kibao wana SMG za magendoClass ya bunduki aliyokua anatembea nayo nafikiri hakuna raia mwenye clearance ya kua nayo.
So tunabakiwa na mawili. Ama anatokea vyombo vya usalama au gaidi.
lugha gani hiyo?
huyo ni muharifu ambaae siraha kali zimeangukia mikononi mwake.. huwezi kuwa serious ukawa wazi hujui gorofani yupo nani .. huyo ameamua kujiua au ujumbe kwa serikali kwamba upuuzi umeamzaProfessional gani anatembea kwa uwazi bila kuwaza atafyatuliwa muda si mrefu
Basi kazi tunayo kama wameanza kutisha hivi sijui nini kinatokeasiro msimuamini , kabisa hana chembe ya ukweli
Inawezekana ana ugonjwa wa akili.Hii imekaa kama movie ya utayari jambazi gani hakimbii, hajifichi, hashambulii basi ili apate hata human shield ajaribu kutoroka??
😲😲🤣🤣Kwa hiyo watu wa pwani ya nchi hii wanaovaa makubazi wote ndio "hao usemao"?!!
Sahihihuyo ni muharifu ambaae siraha kali zimeangukia mikononi mwake.. huwezi kuwa serious ukawa wazi hujui gorofani yupo nani .. huyo ameamua kujiua au ujumbe kwa serikali kwamba upuuzi umeamza
Mpuuzi huyo jamaaMarehemu kaacha maswal mengi hatujaskia madai yake au kakerwa na MAKATO[emoji848][emoji848]
Hahahahah ile ni AK47 mzee tena yenye mkanda wa kutoshaYeye kadhuru wangapi kwani??
Nimeona picha apo dereva bajaji kachochora kaitelekeza bajaji yake, aisee chuma kisikie tu.
Hata usiogooope utakutana na tukio live kabisa ndo utajua hofu na mkojo havikai mwili mmojaNatamani ningekuwepo, nishuhudie Live bila chenga.
Na ningejaribu ku_practice mambo ya kwenye movie.
Practice makes perfect.
Naona Tanzania tunahitaji magaidi na wameanza kujitokeza.Daaaa aiseee tunaelekea wapi sasa
Mbaya sana hii taarifa,vyovyote vile ilivyo kua, na alifariki namuombea Rehema kwa Mungu, alie jeruhiwa ajaliwe kupona mapema.
Hujaona clips zote... huyo anaweza akawa na mafunzo kabisa... kuna sehemu alijificha kwenye kibanda akawa anashambilia... atoroke ili iweje wakati ameshamkadhi mola maisha yakeHii imekaa kama movie ya utayari jambazi gani hakimbii, hajifichi, hashambulii basi ili apate hata human shield ajaribu kutoroka??
Ni kweli lakini kapata wapi silaha?Tunaweza kuwaza nadharia nyingi. Pia inawezekana ni mtu malaria imepanda kichwani akafanya hayo. Baada ya muda tutapata habari kamili.
Alishakufa kitambo kiroho huo ni kivuli tu baada ya mda atakufa kabisa kimwili.Sure, sio mzima huyu