Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Kinondoni, Dar: Hamza Mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Alishaua lazima na yeye afe
He is just another Confused Extremist, mtu kama huyu alitakiwa awe incapacitated, yaani wangeshoot mikono au miguu apate tu kilema Ili ahojiwe vizuri na Ili atueleze vizuri huu ujasiri kautoa wapi.

Vyombo vya usalama kuweni Makini Kuna message inatolewa hapo.

Ila huyu marehemu anaonekana ni amateur kabisa. Una shoot hovyo na anatembea kwa uwazi kabisa hivi, Ila pia,anaonekana hakuna na lengo maalumu
 
Class ya bunduki aliyokua anatembea nayo nafikiri hakuna raia mwenye clearance ya kua nayo.

So tunabakiwa na mawili. Ama anatokea vyombo vya usalama au gaidi.
Mjambazi kibao wana SMG. Raia kibao wana SMG za magendo
 
Hii imekaa kama movie ya utayari jambazi gani hakimbii, hajifichi, hashambulii basi ili apate hata human shield ajaribu kutoroka??
Hujaona clips zote... huyo anaweza akawa na mafunzo kabisa... kuna sehemu alijificha kwenye kibanda akawa anashambilia... atoroke ili iweje wakati ameshamkadhi mola maisha yake
 
Back
Top Bottom